Ahsante Tours sio Wazalendo ni Wahujumu Uchumi

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Ahsante Tours hawawezi kuwa wazalendo wakati wanaendesha kampuni kwa ujanja ujanja huku wakiongoza kwa kukwepa kodi na biashara haramu ya kuingiza watalii kinyemela.
Kwa nini wanawaingiza mawaziri wetu na TANAPA katika mgogoro unaotokana na ubishi wao wa kulipa deni linalotokana na mapato ambayo tayari yameyapokea ?
Kwanini Nyalandu anawaita wazalendo wakati wanaongoza mbinu chafu za uhujumu uchumi ?
Vipi kama kampuni za wageni zitaiga mtindo dhalimu wa Ahsante Tours ?
 
Mkuu mbona makapuni mengi ya tour ni wakwepaji wazuri tu wakodi?Kwa nini Ahsante Tours tu?Makampuni mangapi ya makaburu yanahepa kodi town hapa.......kama unabifu nao we tafuta namna ya kuwachafua lakini si kwa njia ya kodi.......Huyu mama Zara ye analipa kwa uhalali?
 
Ahsante Tours hawawezi kuwa wazalendo wakati wanaendesha kampuni kwa ujanja ujanja huku wakiongoza kwa kukwepa kodi na biashara haramu ya kuingiza watalii kinyemela.
Kwa nini wanawaingiza mawaziri wetu na TANAPA katika mgogoro unaotokana na ubishi wao wa kulipa deni linalotokana na mapato ambayo tayari yameyapokea ?
Kwanini Nyalandu anawaita wazalendo wakati wanaongoza mbinu chafu za uhujumu uchumi ?
Vipi kama kampuni za wageni zitaiga mtindo dhalimu wa Ahsante Tours ?

Mkuu naomba utiririke zaidi kuhusiana na hii story, hawa jamaa wamekwepa kodi gani serikalini????!!!
 
Mkuu Goodrich alichokifanya Nyalandu ni kuongea ukweli.............Makampuni mengi ya wageni hawalipi hizi concession fees sana kinacholipwa ni pesa ya kitanda kimoja kwa mwaka rejea maelezo ya Kamati ya Bunge iliyotembelea hifadhi hizi.Sasa kwa wazungu hawafungiwi ila za wazalendo ndo wanafungiwa................Hakuna haki huko porini..So Nyalandu kumtetea Cathbert na Kampuni ya Ahsante Tours ni sawa tu
 
Lakini habari zilizopo ni kuwa hawa Ahsante Tours wanalalamikiwa sana na wenzao kuhusu kutolipa fees na ujanja ujanja mwingi.
Na je, wewe unakubaliana na excuse wanazotoa ili wasilipe deni wanalodaiwa ?
NB:
Mgogoro wote unasababishwa na deni ambalo Ahsante tours wanakwepa kulipa.
 
attachment.php
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Takukuru yaahidi kuwachunguza maofisa Tanapa

Sakata hilo liliibuka baada ya kudaiwa kuwa uongozi wa Tanapa umeifungia kampuni hiyo kuwatembeza watalii katika hifadhi mbalimbali bila kulipa ada inayofikia Dola 80,000 za Marekani sawa na Sh155 milioni ilizoikopesha.

MKURUGENZI wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah amesema taasisi hiyo haitasita kuwachunguza wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), wanaodaiwa kuwanyanyasa wawekezaji wa Kampuni ya Kitalii ya Ahsante Tours.

Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuiandikia barua ofisi ya Takukuru akiitaka kufanya uchunguzi dhidi ya watendaji hao wa Tanapa.

Taarifa zilizolifikia Mwananchi jana zilieleza kuwa tayari barua hiyo imeshafika Takukuru na taratibu za uchunguzi zimeanza kufanyika.

Sakata hilo liliibuka baada ya kudaiwa kuwa uongozi wa Tanapa umeifungia kampuni hiyo kuwatembeza watalii katika hifadhi mbalimbali bila kulipa ada inayofikia Dola 80,000 za Marekani sawa na Sh155 milioni ilizoikopesha.

Inadaiwa kuwa baada uamuzi wa Tanapa kuifungia kampuni hiyo kutembeza wageni katika hifadhi zote nchini kutokana na kashfa hiyo, kampuni hiyo ililalamika kwa Waziri Nyalandu, ambaye aliamuru Tanapa wakae pamoja na kampuni hiyo,ili kuweza kuwezesha urejeshaji wa pesa hizo.

Hata hivyo, Nyalandu alikanusha kuingilia utendaji wa Tanapa, akisema kuwa hakukurupuka katika kufanya uamuzi huo na kwamba alifanya hivyo baada ya kubaini Tanapa ilifanya makosa kuikopesha kampuni hiyo kinyume na taratibu.

Akizungumza na gazeti hili jana, Dk Hoseah hakutaka kuzungumzia suala hilo kiundani huku akifafanua kwamba hakuwepo ofisini lakini kuna uwezekano mkubwa barua hiyo ikawa imeshafika ofisini kwake. "Nilikuwa safari ila kuna uwezekano barua hiyo ikawa imefika ofisini kwangu," alisema Dk Hoseah.

Alipoulizwa kama taratibu zinazofanywa na Takukuru baada ya kupewa maelezo ya kuwepo kwa mianya ya rushwa, alisema alitaka kupewa muda ili kujiridhisha kama barua hiyo ipo, kueleza taratibu za kuanza kwa uchunguzi huo.

Katika maelezo yake Nyalandu alisema, baada ya kupokea malalamiko ya Ahsante Tours yanayoashiria kuwa uamuzi wa kufungiwa na Tanapa siyo tu ungeathiri wafanyakazi wa kampuni hiyo, bali kodi za Serikali pamoja na watalii wanaokuja nchini.

Source: MWANANCHI
 
Ahksante tour mmliki wake ndiyo huyo huyo Nyalamdu sasa hapo unategemea nini?
 
SOMA HII DOGO

kagasheki hawezi kuchukua hatua; somo hapa chini uone:

Habari hii inatokana na kashfa iliyozuka dhidi ya balozi kagasheki ya kwamba amepokea rushwa ya shilingi milioni 20 kutoka tanapa ili kumgeuka msaidizi wake ambae ni lazaro nyalandu kuhusu sakata la asante tours

Tarehe 10/12/12, waziri kagasheki alikuwa ni mmoja wa wageni katika hafla ya kuwapokea wabuneg waliopanda mlima kilimanjaro siku ya uhuru.

Baada ya kufanya kazi kubwa ya kuwazawadia vyeti walipanda mlima huo, balozi kagasheki alizngumza na waandishi wa habari na kujibu maswali yao kadhaa wa kadhaa.

Moja wapo ya swala alilolizungumzia kwa kirefu zaidi ni sakata linaloendelea la kuhusiana na kampuni ya asante tours kufungiwa kuingiza watalii kwenye hifadhi za taifa zinazosimamiwa na tanapa.

Kwanza kabisa akijibu maswali ya waandishi wa habari hao, alipinga kabisa asante tours kufungiwa na kutetea kitendo cha kufunguliwa kwao na nyalandu kuwa kilikuwa ni kitendo cha kizalendo kitakachoiepusha tanzania aibu. Kauli alizozitoa balozi kagasheki hazikutofautiana na kauli alitoa nyalandu kwenye taarifa za habari usiku huo huo ambapo pamoja na mambo mengine aliagiza takukuru waichunguze tanapa

Cha jabu ni kwamba siku moja tu baada ya habari kuenea kuwa takukuru watafanya kazi hiyo na kudhibitishwa natakukuru wenyewe, balozi kagasheki amenukuliwa na gazeti la rai kumpinga nyalandu na kusema kuwa hana mamlaka ya kuwasiliana na takukuru na hapa ndipo mjadala umezuka hapa arusha na moshi kwenyewe

Habari toka ndani ya tanapa na kinapa zinaeleza wazi kuwa balozi kagasheki aliwekwa sawa na mkurugenzi wa tanapa pamoja na timu yake na habari toka ndani ya tanapa zinaeleza tayari ameshazawadiwa shilingi milioni 20 na mamlaka hiyo ikiwa ni rushwa mambo yaishe kienyeji na pia kuna taarifa ya kuwa tanapa itafanikisha ununuzi wa gari aina ya benz ambalo balozi huyo analitaka kwa udi na uvumba

Habari hizi za ndani zinadhibitishwa na mmoja wa wafanyakazi wa tanapa ambae amekuwa mstari wa mbele kupinga wazawa kuonewa na tanapa

Pia mtoa habari w etu anadhibitisha ya kuwa tayari waandishi sita wa kilimanjaro watatu toka televisheni na watatu magazetini wameandaliwa rasmi kumhujumu nyalandu kwa hali na mali na tayari tanapa imewaandalia safari za kwenda kutembelea mbuga ili kuhalalisha fedha watakaopewa kama ujira wa kazi yao hiyo

Ukweli wa mzozo huu kwa mujibu wa mtoa habari huyo ni kuwa mkurugenzi wa asante tours huwa hapendi kutoa rushwa kwa watendaji wa tanapa na kinapa kutokana na imani yake aliyonayo na jambo hli limeakera sana viongozi wa tanapa na kinapa

Inaelezwa ya kuwa mpango wa kumhujumu asante limeanzishwa na mfanyakazi mmoja wa kinapa aitwae mombo ambae ana mahusiano na makampuni kadhaa ya waongoza watalii ambapo maamuzi ya asante tours yamekuwa yakimkera mfanya kazi huyo

Inaelezwa ya kuwa mombo ndiye aliyetayarisha mpango wa waandishi wa habari waliokuwepo siku waziri kagasheiki alipozungumza nao pale kinapa na kwamba baada ya hafla hiyo baadhi ya waandishi waligombana baada ya kinapa kuwapa malipo tofauti

Inasemekana kuwa mombo alitoa maagizo wale televisheni wapewe 200,000/= fedha ambazo walipewa kisiri wakati wenzao wa magazeti walilipwa 30,000/= kila mmoja na ilipogundulika ndipo pazuka ugomvi mkubwa miongoni mwao

Kiongozi huyo wa tanapa anaendelea kudhibitisha ya kuwa hata mkutano ambao mkurugenzi wa tanapa alikuwa akifanye na waandishi wa habari moshi siku ya jumatano hakikufanyika tena baada ya habari za ugomvi wa waandishi hao kujulikana na kuwekwa wazi

Hali hiyo imepelekea baadhi ya wafanyakazi wa kinapa kuanza kuhaha baada ya habari zao mbali mbali kuanza kufichuliwa kama vile nyumba walizojenga himo na mfanyakazi mombo ambae inasemekana amedanganya ya kuwa anapata matibabu maalum hospitali ya kcmc ili aendelee kuwepo kinapa aendelee na hujuma zake
 
ugomvi hapa ni asante tours kutokulipa deni lake tanapa kwa sababu tanapa walimkopesha hizo fedha kwa ajili ya kuwa ghalamia watalii ambao waliokuwa wametuma pesa zao tayari kwa ajili ya wao kuja hapa tanzania na matokeo yake hii fedha huyu bwana aliitumia kwa ajili ya ujenzi wa hotel na uku akitegemea mkopo utatoka kabla ya wageni kufika.

Matokeo yake wageni wakaja na mkopo ukiwa ujatoka na tanapa walivyo ona hivyo wakajua hili litakuwa tatizo na aibu kwa taifa ikabidi wamkopeshe ahsante dola 70 elfu kwa makubaliano tena ya kimaandishi kuwa atalipa.
Matokeo yake baada ya kupokea zile fedha na kuwahudumia wageni na ndipo alipo anza kulipa kidogo kidogo na jumla ya kiasi alicho lipa ni dola 39 elfu na kubaki dola 31 pesa ambazo ajazilipa mpaka leo na amekata mawasiliano na tanapa na ndipo hapo tanapa wakachukua jukumu la kumfungia.

Kilicho fanyika ni huyu mmiliki wa ahsante kumshirikisha nyalandu na kumkatia pesa ili amsaidie hii issue na kwa kuwa pesa ni ibilisi ndipo nyalandu naye akaingia mkenge na ukizingatia swala hili nyalandu alikuwa anajua kila kitu kwa sababu kabla ya yeye kuwa waziri alikuwa ni mjumbe wa bodi ya tanapa.
Kwa maana hyo alifanya akijua ukweli ni upi,
Ila kuna mambo mengine ambayo nyalandu na muunga mkono kwa mfano kuwa chunguza wafanyakazi wa tanapa ni jambo zuri sana kwa sababu ni matajiri wakubwa sana na kwenye uchunguzi wa takukuru uanze na hawa wafanya kazi matolo na chitanda ni matajiri wakutupa ndani ya tanapa na kampuni zao wanazo miliki na kujichukulia tenda za tanapa wao wenyewe
 
SOMA HII DOGO

kagasheki hawezi kuchukua hatua; somo hapa chini uone:

Habari hii inatokana na kashfa iliyozuka dhidi ya balozi kagasheki ya kwamba amepokea rushwa ya shilingi milioni 20 kutoka tanapa ili kumgeuka msaidizi wake ambae ni lazaro nyalandu kuhusu sakata la asante tours

Tarehe 10/12/12, waziri kagasheki alikuwa ni mmoja wa wageni katika hafla ya kuwapokea wabuneg waliopanda mlima kilimanjaro siku ya uhuru.

Baada ya kufanya kazi kubwa ya kuwazawadia vyeti walipanda mlima huo, balozi kagasheki alizngumza na waandishi wa habari na kujibu maswali yao kadhaa wa kadhaa.

Moja wapo ya swala alilolizungumzia kwa kirefu zaidi ni sakata linaloendelea la kuhusiana na kampuni ya asante tours kufungiwa kuingiza watalii kwenye hifadhi za taifa zinazosimamiwa na tanapa.

Kwanza kabisa akijibu maswali ya waandishi wa habari hao, alipinga kabisa asante tours kufungiwa na kutetea kitendo cha kufunguliwa kwao na nyalandu kuwa kilikuwa ni kitendo cha kizalendo kitakachoiepusha tanzania aibu. Kauli alizozitoa balozi kagasheki hazikutofautiana na kauli alitoa nyalandu kwenye taarifa za habari usiku huo huo ambapo pamoja na mambo mengine aliagiza takukuru waichunguze tanapa

Cha jabu ni kwamba siku moja tu baada ya habari kuenea kuwa takukuru watafanya kazi hiyo na kudhibitishwa natakukuru wenyewe, balozi kagasheki amenukuliwa na gazeti la rai kumpinga nyalandu na kusema kuwa hana mamlaka ya kuwasiliana na takukuru na hapa ndipo mjadala umezuka hapa arusha na moshi kwenyewe

Habari toka ndani ya tanapa na kinapa zinaeleza wazi kuwa balozi kagasheki aliwekwa sawa na mkurugenzi wa tanapa pamoja na timu yake na habari toka ndani ya tanapa zinaeleza tayari ameshazawadiwa shilingi milioni 20 na mamlaka hiyo ikiwa ni rushwa mambo yaishe kienyeji na pia kuna taarifa ya kuwa tanapa itafanikisha ununuzi wa gari aina ya benz ambalo balozi huyo analitaka kwa udi na uvumba

Habari hizi za ndani zinadhibitishwa na mmoja wa wafanyakazi wa tanapa ambae amekuwa mstari wa mbele kupinga wazawa kuonewa na tanapa

Pia mtoa habari w etu anadhibitisha ya kuwa tayari waandishi sita wa kilimanjaro watatu toka televisheni na watatu magazetini wameandaliwa rasmi kumhujumu nyalandu kwa hali na mali na tayari tanapa imewaandalia safari za kwenda kutembelea mbuga ili kuhalalisha fedha watakaopewa kama ujira wa kazi yao hiyo

Ukweli wa mzozo huu kwa mujibu wa mtoa habari huyo ni kuwa mkurugenzi wa asante tours huwa hapendi kutoa rushwa kwa watendaji wa tanapa na kinapa kutokana na imani yake aliyonayo na jambo hli limeakera sana viongozi wa tanapa na kinapa

Inaelezwa ya kuwa mpango wa kumhujumu asante limeanzishwa na mfanyakazi mmoja wa kinapa aitwae mombo ambae ana mahusiano na makampuni kadhaa ya waongoza watalii ambapo maamuzi ya asante tours yamekuwa yakimkera mfanya kazi huyo

Inaelezwa ya kuwa mombo ndiye aliyetayarisha mpango wa waandishi wa habari waliokuwepo siku waziri kagasheiki alipozungumza nao pale kinapa na kwamba baada ya hafla hiyo baadhi ya waandishi waligombana baada ya kinapa kuwapa malipo tofauti

Inasemekana kuwa mombo alitoa maagizo wale televisheni wapewe 200,000/= fedha ambazo walipewa kisiri wakati wenzao wa magazeti walilipwa 30,000/= kila mmoja na ilipogundulika ndipo pazuka ugomvi mkubwa miongoni mwao

Kiongozi huyo wa tanapa anaendelea kudhibitisha ya kuwa hata mkutano ambao mkurugenzi wa tanapa alikuwa akifanye na waandishi wa habari moshi siku ya jumatano hakikufanyika tena baada ya habari za ugomvi wa waandishi hao kujulikana na kuwekwa wazi

Hali hiyo imepelekea baadhi ya wafanyakazi wa kinapa kuanza kuhaha baada ya habari zao mbali mbali kuanza kufichuliwa kama vile nyumba walizojenga himo na mfanyakazi mombo ambae inasemekana amedanganya ya kuwa anapata matibabu maalum hospitali ya kcmc ili aendelee kuwepo kinapa aendelee na hujuma zake
Dah nchi hii
 
Back
Top Bottom