mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,054
- 5,432
Ni lini Taasisi ikazungumzia watu? Ukiingia ofisini yote yaliyokuwepo mazuri na mabaya ni yako!! Ni mara ngapi mawaziri wamewajibika kwa waliopita!! Tena unazungumzia taasisi kubwa ya URAIS???? Uwe makini!!Acha ujinga, soma kwanza uzi na uuelewe, kama hujaelewa tafuta DOGO aliye karibu nawe akueleweshe.
Mleta uzi kasema 'YAWEZEKANA MKULU ALIAGIZA KAMA ALIVYOAGIZA ZILE NDEGE'.
Hapa hujaelewa nini??
Narudia, wamesema vichwa vya treni na hizo ambilance ziliagizwa na kufika kabla JPM hajawa rais. Nini huelewi hapa?? Mleta uzi anamtuhumu JPM kuwa ndiye muagizaji, sio taasisi.