Ahsante TBC kwa kutuonesha mmiliki wa ambulance na vichwa vya treni

Huo ulikuwa ni mchezo tu, kwani kwa tunavyomjua Magu kama kweli angekuwa amevumbua yeye basi pale asingetoka bila kutumbuliwa mtu pale pale. Lakini mpaka leo husikii aliyetumbuliwa. Huo ni mchezo wa kisiasa tu.

Hawa wamekwisha, bila jeshi na polisi CCM haipo, Amini usiamini. Chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni zimethibitisha hilo.
 
Jana kwa wale wenye mioyo migumu tunaoangalia TBC kulikuwa na kipindi ambacho walialika maafisa wawili wa mamlaka ya bandari TPA kuzungumzia maswala mbalimbali.

Mmoja wa watazamaji alipiga simu nakuulizia kwann wanashindwa kudhibiti hadi raisi anakuja kuvumbua madudu?(nukuu isiyo rasmi)

Afisa wa TPA; alijibu kuwa wao ndiyo waliompa Raisi taarifa kuwa scanner yao imeona container ya mitumba ambayo ndani yake kuna magari na siyo raisi ndiyo aliyevumbua hayo in scanner za TPA, akaendelea zaidi kuwa wanampango wakufunga scanner zingine.

Mtazamaji mwingine: aliulizia kuhusu ambulance na vichwa vya treni.

Afisa wa TPA: Mizigo yote inayokuja bandarini ina manifest inayoonesha inatoka wapi na final destination(mmiliki) ni wapi, kuhusu ambulance manifest inaonesha ziliagizwa kutoka ofisi ya raisi na ndicho afisa wa TPA alichomweleza raisi na baada ya hapo raisi aliunda tume ya kuchunguza the same thing na vichwa vya treni ina manifest take.

Haya sasa, maswali ya kuchokoza mada;
1. Mkulu alipokuwa ziara mikoa mbalimbali refer mererani aliahidi ambulance wakati anazindua barabara, akasema atabanabana huko alete ambulance, Je inawezekanaje katika zama izi zakutumbua afisa ugavi ofisi ya mkulu aagize ambulance bila idhini?

2. Vichwa vya treni, Je?, inawezekana km mkulu aliagiza km alivyoagiza ndege mpya bila kufuata budget na kwasababu wadau wengi walimkosoa kuwa hafuati budget ameamua kuvumbua madudu bandari???then kuwakabidhi TRL

Nawaza tu???
Je, kuna uwezekano km ndege zingekuwa zinapitia bandari, angevumbua ndege mpya tano zilizotelekezwa bandarini na kisha kuwakabidhi ATCL?

Kwa wale wanaosubiri kuambiwa mmiliki wa vichwa vya treni na ambulance, tuwe na imani km ya wakristu kuwa Yesu atarudi.
Umesahau kutukumbusha kuwa Magufuli ana muda gani madarakani?
Ambulance zina muda gani zimekwama bandarini?
Vichwa vya train vina muda gani vimekwama bandarini?
Magari ya polisi yalikuwa na muda gani bandarini?

Ni kukumbushe tuu kuwa hizo ambulance ziliagizwa kwa kutumia jina la ofisi ya Rais....
Nijibu maswali mawaili hapo juuu
 
Tatizo lenu Wazandiki wengi akiwepo mleta mada mmejawa na CHUKI na Ukabila mpaka mnaanza kutapatapa na mwisho wenu utakuwa mbaya sana.
Kama hamna taarifa kamili kuhusu habari husika ni vyema mngetulia tulii na kuachana na hizi Propaganda za mwendokasi.

Hizo ambulance ziliagizwa wakati wa awamu ya nne. Na zilikaa hapo bandarini kwa muda mrefu sana (kwa wale mnaofanya shughuli zenu huko mnalijua hili). Mh. Rais alipewa taarifa na akazifanyia kazi. Unafikiri huyo Ofisa wa TPA alitoa wapi huo ushujaa wa kusema wazi ya kwamba hizo nolinoli ziliagizwa na Ofisi ya Rais kwa mujibu wa Wazi ( manifest ) inavyojieleza!!
Vivyo hivyo kwa hivyo vichwa vya Treni. Acheni kuhadaa Umma wa Watanzania kwa UZANDIKI na kutunga Uongo kila kukicha. Mjikite kwenye kazi na Kilimo ili kujenga Tanzania.

Mwisho wenu ni AIBU!
Hapa kinachoongelewa ni maigizo, acha kutafuta kivuli chako gizani.
 
Hizo Ambulance ziliagizwa lini wakati zina zaidi ya miaka 4 pale?
Kwabi ofisi ya rais ipo tangu lini? Unajua maana ya ofisi ya rais?
Kama kila anaekuja akisema, sijui nani aliagiza, sihui nani alifanya, sii mimi ni kipinfi cha nyuma, mambo yatakwenda kweli?

Alitakiwa ajue, sii kuwabana TPA kwa maswali. Yeye ndie anatakiwa aulizwe.
 
Umesahau kutukumbusha kuwa Magufuli ana muda gani madarakani?
Ambulance zina muda gani zimekwama bandarini?
Vichwa vya train vina muda gani vimekwama bandarini?
Magari ya polisi yalikuwa na muda gani bandarini?

Ni kukumbushe tuu kuwa hizo ambulance ziliagizwa kwa kutumia jina la ofisi ya Rais....
Nijibu maswali mawaili hapo juuu
Akikupa majibu naomba unitag mkuu Ruttashobolwa.
 
we naona albadir imeshakumaliza...yaani uagize kitu halafu ujifanyishe tn hukijui labda kama ubongo wako unafanya kazi kwa mfumo huo hapo sawa
 
Kwabi ofisi ya rais ipo tangu lini? Unajua maana ya ofisi ya rais?
Kama kila anaekuja akisema, sijui nani aliagiza, sihui nani alifanya, sii mimi ni kipinfi cha nyuma, mambo yatakwenda kweli?

Alitakiwa ajue, sii kuwabana TPA kwa maswali. Yeye ndie anatakiwa aulizwe.

Umenisaidia kuwajibu,
Kwa majibu ya TPA haya magari yameagizwa mwezi wa 6, 2015...sasa walitaka JK ang'ang'anie madaraka kuwa kuna mambo hajakamilisha?
 
we naona albadir imeshakumaliza...yaani uagize kitu halafu ujifanyishe tn hukijui labda kama ubongo wako unafanya kazi kwa mfumo huo hapo sawa
Majitu yalizoea kuiba na kufuja Mali za umma...awamu hii mianya imedhibitiwa na kubanwa yamebakia kuhangaika na kumwaga sumu za chuki na ukabila mitandaoni.
Muda utawaumbua kweupeee!
 
Magu ni msanii na ni muongo
Kwenye hili naungana na wewe 100% ni muongo sana sana na uongo wake ni wa kiwango cha juu mno kiasi kwamba kama hukwenda shule na huna elimu utakuwa mpiga makofi wake mkubwa na mnafiki sana hadi namuogopa kawapumbaza sana watanzania wasio na fikra pevu kwa uongo mkubwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom