Ahsante sana mama Ndalichako!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,832
5,618
Nilikuwa na tatizo kubwa la kuogopa kuongea Kiingereza mbele za watu sababu sijakijua vizuri na kwa bahati mbaya sana shughuli zangu zinanihitaji nifanye hivyo mara kwa mara......nilikuwa napata shida kwelikweli na kujisikia mnyonge.

Jana ni clip ya pili ya mama yangu Ndalichako naiona ikisambaa mitandaoni akiwa anazungumza kiingereza. Mengi yameongelewa kuhusu suala la Kiingereza kutokidhi haja tarajiwa ya daraja lake la kielimu (uprofesa) na mengine mengi ikiwemo waliojiuliza kuwa mama amesoma zamani na kipindi hicho ndicho watabe wa lugha walikuwepo kutokana na wengi wao kufundishwa na wenyewe wazungu sasa imekuaje hana flow nzuri kabisa n.k.

Hayo mengine nakuachieni maana sina la maana nilijualo, lakini mimi nakiri nimepata confidence ya hali ya juu mno ya kujizungumzia tu mbele za watu. Yaani nimemotishika vya kutosha kabisa na zile clips. seriously, ahsante sana mama Ndalichako!
 
nilikuwa na tatizo kubwa la kuogopa kuongea kiingereza mbele za watu sababu sijakijua vizuri na kwa bahati mbaya sana shughuli zangu zinanihitaji nifanye hivyo mara kwa mara......nilikuwa napata shida kwelikweli na kujisikia mnyonge.

jana ni clip ya pili ya mama yangu ndalichako naiona ikisambaa mitandaoni akiwa anazungumza kiingereza. mengi yameongelewa kuhusu suala la kiingereza kutokidhi haja tarajiwa ya daraja lake la kielimu (uprofesa) na mengine mengi ikiwemo waliojiuliza kuwa mama amesoma zamani na kipindi hicho ndicho watabe wa lugha walikuwepo kutokana na wengi wao kufundishwa na wenyewe wazungu sasa imekuaje hana flow nzuri kabisa n.k.

hayo mengine nakuachieni maana sina la maana nilijualo, lakini mimi nakiri nimepata confidence ya hali ya juu mno ya kujizungumzia tu mbele za watu.....yaani nimemotishika vya kutosha kabisa na zile clips. seriously, ahsante sana mama ndalichako!
Kwa iyo unafurahia ujinga, mm wakat nasoma form 2 tulikuwa tunavalishwa bango la speak english, sasa kwa prof kushindwa ku floo english si maajabu tu bali ni maajabu makubwa, et yu wili slip insaidi, nammiss sana jk yule jamaa ni mjanja mjnja lkn yupo vizur sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani na wewe ni professor
nilikuwa na tatizo kubwa la kuogopa kuongea kiingereza mbele za watu sababu sijakijua vizuri na kwa bahati mbaya sana shughuli zangu zinanihitaji nifanye hivyo mara kwa mara......nilikuwa napata shida kwelikweli na kujisikia mnyonge.

jana ni clip ya pili ya mama yangu ndalichako naiona ikisambaa mitandaoni akiwa anazungumza kiingereza. mengi yameongelewa kuhusu suala la kiingereza kutokidhi haja tarajiwa ya daraja lake la kielimu (uprofesa) na mengine mengi ikiwemo waliojiuliza kuwa mama amesoma zamani na kipindi hicho ndicho watabe wa lugha walikuwepo kutokana na wengi wao kufundishwa na wenyewe wazungu sasa imekuaje hana flow nzuri kabisa n.k.

hayo mengine nakuachieni maana sina la maana nilijualo, lakini mimi nakiri nimepata confidence ya hali ya juu mno ya kujizungumzia tu mbele za watu.....yaani nimemotishika vya kutosha kabisa na zile clips. seriously, ahsante sana mama ndalichako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wabongo wengi wanajua kujua kiingilishi ndo kuelimika! Kuna watu swala la kushika lugha hilo linasumbua ,wengine wanauwezo wa kushika lugha hata tano!.. binafsi kuzungumza hiyo lugha mbele ya kadamnasi ni jaribio la kutaka kunizimisha!!😂 Ila leta karamu na karatasi niandike nilichoshindwa kukizungumza mbele ya kadamnasi hutojuta!.
Sisi ndo ambao tukiwa nyuma ya darasa kelele Kama zote! Leta debate niweke mbele ya darasa nizungumze utajuta.. kwanza natafuta kitu cha kushika walau nipate ahueni maana hapo natetemeka Kama mwendawazimu nikikosa Cha kushika sasa hapo jiandaeni kucheka tu maana debate itageuka kuwa kituo kutetemeka!!😂😂
Kiingeleza cha karatasi uliniinua Sana essay zilinikoma ila cha kuongea mbele ya watu umenitesa sana ng'ombe wewe sitakusahau🤣
 
Sisi wa kayumba tunateseka sana vingereza vyetu mpaka tu download sio plug and play.​
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom