Wakuu ninaomba kusema haya:
Wabuyaga hafungamani na upande wowote!
- Kwa yeyote mpenda Taifa letu hana budi kutoa ushirikiano wa kila hali na mali kwa Mhs Rais wetu, maana anayoyafanya yanaonekana na yataendelea kuonekana
- Kwa upande wa upinzani, ni kiasi cha kutumia akiri na busara na kuwa creative and innovative katika kujiweka sawa na mbinu nyingine za kuendesha upinzani wenye TIJA kwa nchi yetu.
- Haingii kichwani kuona mtu yeyote awe kutokea vyama vya upinzani au toka katika chama tawala haona mazuri anayoyafanya Mhs Rais wetu. Hapa hakuna cha chama wala nini, masilahi ya nchi mbele tu (HUKO NYUMA TULIUMIA SANA NA TENA SANA, NA SASA ANGALAU KUNA MWANGA UNAONEKANA).
- wapinzania TUAWAHITAJI KATIKA KUIKOSOA SERIKALI LAKINI KWA VITU VINAVYO STAHILI NA VYENYE KULETA TIJA. Swala la kuminywa kwa demokrasia ni la mda ili nchi ikae angalau kwenye balance. na ndiyo maana mnaombwa kuvumilia kwani nanyie mnahitajiwa katika maendeleo ya nchi yetu (hakuna nchi ambayo imeweza kuendelea bila kuwa na upinzani wa kweli).
Wabuyaga hafungamani na upande wowote!