Ahsante Rais wetu mpendwa

wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,682
1,225
Wakuu ninaomba kusema haya:
 • Kwa yeyote mpenda Taifa letu hana budi kutoa ushirikiano wa kila hali na mali kwa Mhs Rais wetu, maana anayoyafanya yanaonekana na yataendelea kuonekana
 • Kwa upande wa upinzani, ni kiasi cha kutumia akiri na busara na kuwa creative and innovative katika kujiweka sawa na mbinu nyingine za kuendesha upinzani wenye TIJA kwa nchi yetu.
 • Haingii kichwani kuona mtu yeyote awe kutokea vyama vya upinzani au toka katika chama tawala haona mazuri anayoyafanya Mhs Rais wetu. Hapa hakuna cha chama wala nini, masilahi ya nchi mbele tu (HUKO NYUMA TULIUMIA SANA NA TENA SANA, NA SASA ANGALAU KUNA MWANGA UNAONEKANA).
 • wapinzania TUAWAHITAJI KATIKA KUIKOSOA SERIKALI LAKINI KWA VITU VINAVYO STAHILI NA VYENYE KULETA TIJA. Swala la kuminywa kwa demokrasia ni la mda ili nchi ikae angalau kwenye balance. na ndiyo maana mnaombwa kuvumilia kwani nanyie mnahitajiwa katika maendeleo ya nchi yetu (hakuna nchi ambayo imeweza kuendelea bila kuwa na upinzani wa kweli).
Mwisho ninasema HONGERA RAIS WETU kwa kuonyesha njia ya kweli! Wewe ni baba wa Taifa wa kweli!
Wabuyaga hafungamani na upande wowote!
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,782
2,000
Rais Wetu ana nia nzuri, hii nchi ilishaibiwa sana, Hongera JPM kupambana na Mafisadi na wakwepa kodi. Pia Raisi anatakiwa kuboresha maisha ya wanyonge na kufanya bei za vitu kuwa nafuu...Kumbuka bidhaa zetu za kila siku kama mafuta taa, gesi, sukari, mafuta ya kupikia, Cementi, mabati vinatozwa kodi kubwa wakati Madini na gesi vikiibiwa. Tumuunge mkono Rais

Wasaidize wa Rais, Wachumi, TTB na Mawaziri...Tumsaidie Rais katika Maamuzi kwenye Utalii.....Tutazama wote na madhara ni yetu wote

Takwimu za mwaka 2014 kuhusu utalii wa kimataifa (International tourist arrivals) inaonesha kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi 10 za juu katika kutembelewa na watalii. Hii inaonesha kuwa watalii hawa wa kizungu wanapendelea zaidi kwenda kwenye mabara mengine kuliko Afrika.

In 2014, there were 1.133 billion international tourist arrivals worldwide, with a growth of 4.3% as compared to 1.087 billion in 2013.[1] The top 10 international tourism destinations in 2014 were

1. France Europe 83.7 million
2. United States North America 74.8 million
3. Spain Europe 65.0 million
4. China Asia 55.6 million
5. Italy Europe 48.6 million
6. Turkey Europe 39.8 million
7. Germany Europe 33.0 million
8. United Kingdom Europe 32.6
9. Russia Europe 29.8 million
10. Mexico North America 29.1

Katika Afrika, Tanzania haipo hata katika 10 bora

In 2014, there were over 55.7 million international tourist arrivals to Africa, the top ten African destinations were
1. Morocco 10.2 million
2. Egypt 9.6 million
3. South Africa 9.5 million
4. Tunisia 6.0 million
5. Algeria — 2.7 million
6. Mozambique — 1.8 million
7. Zimbabwe 1.8 million
8. Kenya — 1.4 million
9. Uganda — 1.2 million
10. Namibia — 1.1 million

Hata Uganda inatupita?????

Jambo la kusikitisha ni kwamba, nchi inayoongoza kwa kutembelewa na watalii wageni katika Afrika ambayo ni Morocco, idadi ya watalii inaowapokea ni chini ya watalii wanaotembelea nchi ya mwisho ya 10 bora ya Ulaya.

In 2014, there were over 582 million international tourist arrivals to Europe, an increase of 3.0% over 2013. In 2014, the top ten destinations were

1. France 83.7 million
2. Spain 65.0 million
3. Italy 48.6 million
4. Turkey 39.8 million
5. Germany 33.0 million
6. United Kingdom 32.6 million
7. Russia 29.8 million 28.4
8. Austria 25.2 million
9. Greece 22.0 million
10. Poland 16.0 million

Ukija kwenye mapato ya utalii, Tanzania na Afrika si lolote na si chochote. Idadi kubwa ya watalii inawianika kwa kiwango kikubwa na mapato ya utalii. Hayo maneno ya kusema kuwa unaweza kuwa na watalii wachache halafu mapato yakawa makubwa ni ndoto za alinacha zinazootwa na maprofesa wa Tanzania pekee.

International tourism receipts grew to US$1,245 billion in 2014, corresponding to an increase in real terms of 3.7% from 2013.[11] The World Tourism Organization reports the following countries as the top ten tourism earners for the year 2014, with the United States by far the top earner.
1
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States North America $177.2 billion
2
23px-Flag_of_Spain.svg.png
Spain Europe $65.2 billion
3
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China Asia $56.9 billion
4
23px-Flag_of_France.svg.png
France Europe $55.4 billion
5
23px-Flag_of_Macau.svg.png
Macau Asia $50.8 billion
6
23px-Flag_of_Italy.svg.png
Italy Europe $45.5 billion
7
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom Europe $45.3 billion
8
23px-Flag_of_Germany.svg.png
Germany Europe $43.3 billion
9
23px-Flag_of_Thailand.svg.png
Thailand Asia $38.4 billion
10
23px-Flag_of_Hong_Kong.svg.png
Hong Kong Asia $38.4 billion

Kwa mapato ya utalii wa kimataifa katika Afrika, nchi inayoongoza ni Afrika Kusini ($9.4 billion) ikifuatiwa na Misri ($7.2 billion), Morrocco ($7.1 billion) na Tunisia ($2.3 bilion). Kwa ujumla yule anayeongoza kwa mapato ya utalii katika Afrika hayupo katika 10 bora za Dunia, na ni chini ya mapato ya nchi ya mwisho ya 10 bora katika mabara mengine.

Mapato ya utalii ya Tanzania kwa mwaka 2014 yalikuwa $1.95 billion, chini kuliko mapato ya Singapore ($19.20 billion), Turkey ($37.37 billion), Qatar (10.58 billion) au Misri ($7.21 billion). Singapore, Turkey, Qatar na Misri hawana twiga wala tembo lakini wanatuzidi kwa idadi ya watalii na kimapato mara dufu.

Profesa Maghembe, Rais wetu na Watanzania, wanatakiwa kufahamu kuwa vivutio vya utalii ni zaidi ya idadi ya tembo, fisi, twiga, pundamilia na ngiri tulio nao. Utalii mkubwa ni akili, yaani unaweza kufanya nini kwa kutegemea mazingira yako ili watu wa mataifa mengine waje kushuhudia na kustarehe katika mazingira yako.

Watanzania, kwa ujinga wetu, tunaamini kuwa kwa sababu tu tuna nyumbu wengi, twiga na tembo basi watu wengi, Dunia nzima wanahangaika ili waje watazame sura ya twiga. Watalii hawana haja na sura ya pundamilia wala mbwa mwitu bali wanataka kuona mazingira ya kuvutia yaliyo tofauti na mahali pengine, na sisi tunaweza kuwatumia wanyama hao kuweza kuyafanya mazingira yetu kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Misri ambako mapiramidi na chuo kikuu cha kwanza cha Alexandria, vimetosha kuizidi Tanzania kimapato.

Ushauri wangu kwa Rais, fukuza kazi prof. Maghembe maana amekupotosha kwa kueleza kuwa hakuna uhusiano wa mapato katika utalii na idadi ya watalii. Waziri unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye ataihakikishia Tanzania inapata ongezeko kubwa la watalii na siyo upungufu wa watalii. Bila ya kujali kama ongezeko la idadi ya utalii na mapato ya utalii vitategemea kupungua kwa kodi au kuondoa baadhi ya kodi, au kuongeza mbinu za kujitangaza au kuboresha miundombinu na huduma za kitalii, ukweli ni kwamba tunahitaji ongezeko la idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii ambavyo vinaenda sambamba hata kama siyo kwa uwiano 1:1

Rais Magufuli hatutakuelewa kama pamoja na vyote tulivyo navyo, lakini mapato ya utalii yataendelea kuwa chini kuliko ya Afrika Kusini, Misri, Morocco, Tunisia na Kenya, huku wewe mwenyewe ukisema tuna vivutio vingi vya utalii. Tuna vivutio vya utalii visivyovutia watalii.

Mheshimiwa Rais, hotuba zako za mara kwa mara za kuelezwa nchi hii imeibiwa sana tumekwishazisikia kiasi cha kutosha, sasa tunahitaji kusikia kutoka kwako juu ya mbinu za kuongeza mapato ya utalii (siyo kodi za utalii bali mapato), mbinu za kuongeza mauzo ya mazao yetu nje ya nchi, mkakati wa kujenga uchumi wa viwanda, na namna rasilimali nyingine kama gas na madini zinavyoweza kubadilishwa kuwa mapato ya wananchi na Taifa. Mheshimiwa Rais tunataka mbinu na mikakati ya kuongeza mapato ya Watanzania.
 
Mkuu nimependa nafikiri walengwa wataipitia
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
92,386
2,000
Wakuu ninaomba kusema haya:
 • Kwa yeyote mpenda Taifa letu hana budi kutoa ushirikiano wa kila hali na mali kwa Mhs Rais wetu, maana anayoyafanya yanaonekana na yataendelea kuonekana
 • Kwa upande wa upinzani, ni kiasi cha kutumia akiri na busara na kuwa creative and innovative katika kujiweka sawa na mbinu nyingine za kuendesha upinzani wenye TIJA kwa nchi yetu.
 • Haingii kichwani kuona mtu yeyote awe kutokea vyama vya upinzani au toka katika chama tawala haona mazuri anayoyafanya Mhs Rais wetu. Hapa hakuna cha chama wala nini, masilahi ya nchi mbele tu (HUKO NYUMA TULIUMIA SANA NA TENA SANA, NA SASA ANGALAU KUNA MWANGA UNAONEKANA).
 • wapinzania TUAWAHITAJI KATIKA KUIKOSOA SERIKALI LAKINI KWA VITU VINAVYO STAHILI NA VYENYE KULETA TIJA. Swala la kuminywa kwa demokrasia ni la mda ili nchi ikae angalau kwenye balance. na ndiyo maana mnaombwa kuvumilia kwani nanyie mnahitajiwa katika maendeleo ya nchi yetu (hakuna nchi ambayo imeweza kuendelea bila kuwa na upinzani wa kweli).
Mwisho ninasema HONGERA RAIS WETU kwa kuonyesha njia ya kweli! Wewe ni baba wa Taifa wa kweli!
Wabuyaga hafungamani na upande wowote!
MWENYE ENZI MUNGU azidi kubariki nchi yetu na rais wetu JPM. ..endelea kubarikiwa!
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,019
2,000
Wakuu ninaomba kusema haya:
 • Kwa yeyote mpenda Taifa letu hana budi kutoa ushirikiano wa kila hali na mali kwa Mhs Rais wetu, maana anayoyafanya yanaonekana na yataendelea kuonekana
 • Kwa upande wa upinzani, ni kiasi cha kutumia akiri na busara na kuwa creative and innovative katika kujiweka sawa na mbinu nyingine za kuendesha upinzani wenye TIJA kwa nchi yetu.
 • Haingii kichwani kuona mtu yeyote awe kutokea vyama vya upinzani au toka katika chama tawala haona mazuri anayoyafanya Mhs Rais wetu. Hapa hakuna cha chama wala nini, masilahi ya nchi mbele tu (HUKO NYUMA TULIUMIA SANA NA TENA SANA, NA SASA ANGALAU KUNA MWANGA UNAONEKANA).
 • wapinzania TUAWAHITAJI KATIKA KUIKOSOA SERIKALI LAKINI KWA VITU VINAVYO STAHILI NA VYENYE KULETA TIJA. Swala la kuminywa kwa demokrasia ni la mda ili nchi ikae angalau kwenye balance. na ndiyo maana mnaombwa kuvumilia kwani nanyie mnahitajiwa katika maendeleo ya nchi yetu (hakuna nchi ambayo imeweza kuendelea bila kuwa na upinzani wa kweli).
Mwisho ninasema HONGERA RAIS WETU kwa kuonyesha njia ya kweli! Wewe ni baba wa Taifa wa kweli!
Wabuyaga hafungamani na upande wowote!
Nakufananisha na wale viongozi wako wanaorudia maneno yale yale kila siku. Kama ungekuwa creative usingendika pumba hizi, yapo mengi ya kuwajuza wananchi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom