Vifurushi vya Intaneti: Asante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
VIFURUSHI; Ahsante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu
IMG-20210403-WA0005.jpg

Nani kama Mama? Hakuna. Hakika hakuna kama mama.

Kilio chetu cha kutwa moja tu kimemfanya mama atoe maagizo fasta kwa TCRA kushughulikia kupanda kwa gharama za vifurushi.

Awali, changamoto kama hizo zilikua zikishughulikiwa baada ya kututafuna kwa wiki au miezi kadhaa.

Katika utumishi wako adhimu, Rais wetu Mh. Samia hakika umeweza kututatulia changamoto hii ndani ya masaa kadhaa tu hata siku (masaa 24) haijafika.

Tunakupenda sana Rais wetu. Endelea na spidi hiyohiyo. Mungu yu pamoja nawe anakuongoza.

NaniKamaMama
 
Hivi unaamini Makamu wa Rais atakua na akaunti ambayo haipo verified?

Na anaandika 'Sikuku'?

Anyway, Usitishwaji umetajwa tangu jana.
Kuverify akaunti mpaka yeye alifanyie kazi yeye ndio anaomba siyo wao kumuomba
 
Back
Top Bottom