Pretty JF-Expert Member Mar 19, 2009 2,575 552 Jun 23, 2011 #21 .....hongera sana, kumbe wewe ni mume na baba!!! Once again hongera sana.
One and Only Senior Member Mar 7, 2011 161 62 Jun 24, 2011 #22 Ubarikiwe sana na Mungu aliye mwingi wa rehema na fadhila aidumishe ndoa yako iwe yenye furaha daima, mpe hongera zake wife wako
Ubarikiwe sana na Mungu aliye mwingi wa rehema na fadhila aidumishe ndoa yako iwe yenye furaha daima, mpe hongera zake wife wako