Ahsante Mungu kwa kutupa Mh. Joshua Nassari

Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

Mwenyezi Mungu katuletea Nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa CDM! Basi tena nimeahirisha kuhamia CDM ngoja nitafute chama kingine maana CCM nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya Nassari ni kuwa kuwapa nchi CDM ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane Nassari maana WANADAI UMEMTUMA!

topic closed, kesha toa press release
 
DPP usicheleweshe hilo jarada "foil an iron when still hot" ili liwe fundisho na kwa wengine,sasa niwakati wakutenda haki ! ukichelewesha utawajibika wewe mara moja...hatutaki vichaa kuongoza watu kwa kisingizio cha ukombozi hewa.
Tanzania ni nchi huru yenye mamlaka huru,polisi msiogope kutekeleza wajibu wenu kwa wananchi wote bila kuangalia itikadi za vyama.

Nahofia mwaka 2015 kutakuwa na vita baadhi ya maeneo kwa kauli za vichaa hawa..Nassari,Lema,Wenje,Vicent Nyerere,nk..hasa pale watakapo kosa ubunge maana hawana nafasi tena ya kushinda uchaguzi !!!!!!!
 
CCM SAWA NA MFUKO ULIOTOBOKA.nawashangaa watu wanaopoteza kuijadili.
 
[QUOTBE=Gizakuu;3891547]Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

Mwenyezi Mungu katuletea Nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa CDM! Basi tena nimeahirisha kuhamia CDM ngoja nitafute chama kingine maana CCM nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya Nassari ni kuwa kuwapa nchi CDM ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane Nassari maana WANADAI UMEMTUMA![/QUOTE]

Wewe gamba umetokea wapi?acha kutuzuga manake wewe ni ccm mnafiki mkubwa na kamwe huwezi kubadilisha hii M4C
 
Nassari sijui kafikia wapi kwenye ahadi yake ya kushusha sukari bei kule Arumeru.

ana muda mfupi tu kama mbunge lakini kashafikia pale ccm na marais wake wamefikia kwa miaka hamsini. baada ya miaka 50 atawapoteza kabisa
 
Watu Wanashabikia Ujinga wanasahau Hata Kuwatumikia Watanzania!! Nassary is Our Young Fellow in Politcs!! and people learn Through Mistakes Sioni Kama Kuna Baya alilofanya!! Polititians do Talk a lot and do Little!! In Politics all are Tricks!! Sidhani kama hii Magamba wataweza Kucapitalize!!
 
Duh bluetooth kumbe bado dawa za kurefusha maisha zinakutunza?!! Hivi nilisikia Padri Slaa kafuta yale malipo ya kuitukana CCM , kumbe bado?!! Mgao pls!

Vipi na Sheikh Kikwete? Naye anakulipa kuitukana CDM?
 
Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

Mwenyezi Mungu katuletea Nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa CDM! Basi tena nimeahirisha kuhamia CDM ngoja nitafute chama kingine maana CCM nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya Nassari ni kuwa kuwapa nchi CDM ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane Nassari maana WANADAI UMEMTUMA!

Sio kwamba umeelewa kijujuu zaidi? Anyways una haki ya kutoa maoni na umeitumia
 
Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

Mwenyezi Mungu katuletea Nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa CDM! Basi tena nimeahirisha kuhamia CDM ngoja nitafute chama kingine maana CCM nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya Nassari ni kuwa kuwapa nchi CDM ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane Nassari maana WANADAI UMEMTUMA!
Kauli yako ya kuita watu vichaa inaendana kabisa na chama chako ulichopo. Na kama ni "vichaa wa kaskazini" ndio unaowakimbia, ukweli ni kwamba huna pa kukimbilia maana vichaa wako kila kona ya ulimwengu huu. Labda uamue kuwa na sayari yako mwenyewe kitu ambacho bado kitakua ni ukichaa mwingine uliojitokeza ndani yako. Kwa ujumla huwazi kujihakikishia usalama mbali na hali hiyo. Chadema ndio chama cha kuongoza nchi hii. CCM imeshapitwa na wakati.
 
Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

Mwenyezi Mungu katuletea Nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa CDM! Basi tena nimeahirisha kuhamia CDM ngoja nitafute chama kingine maana CCM nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya Nassari ni kuwa kuwapa nchi CDM ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane Nassari maana WANADAI UMEMTUMA!

Ha! ha! ha!, ebu tueleze true colour ya ccm ni nini? ni bora maneno ya Mb Nassari, kuliko true colour ya ccm ya ufisadi, EPA, RICHMOND, NK. Peopleeeeeeeeeeeeeeeees PPPPPOWERaaaaaa

images
 
Kama jina lako lilivyo wewe kweli ni Gizakuu. Huna chochote unachopost hapa zaidi ya upofu wa mambo ya siuasa na jamii kwa jumla. If you don't know how to paste don't copy. Umechukua kichwa cha habari ya mwanakijiji kwenye Mwanahalisi (Asante Mungu kwa kutupa JK) ukaingiza moja kwa moja kwenye thread yako mufilisi. Inaonekana uko humu kuelezea mambo ya ajabu na kuelezea hadithi za Magamba ambazo kwa sasa hatuna haja nazo. M4C mwendo mdundo hadi kieleweke. Nenda Arumeru kaelezee huu uchuro wako. Wameshakupa buku ya kula? Thread yako inaonyesha unakabiliwa na njaa kali.
 
kama kuna jambo mwenyezi mungu kawatendea haki kubwa watanzania ni kwa kumleta kwetu joshua nassari ambaye kupitia kwake katufunulia true colour ya chadema, chama nilichodhani ni mbadala wa ccm kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

Mwenyezi mungu katuletea nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa cdm! Basi tena nimeahirisha kuhamia cdm ngoja nitafute chama kingine maana ccm nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya nassari ni kuwa kuwapa nchi cdm ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane nassari maana wanadai umemtuma!

...ogopa chadema bwana,utafikiri wamezaliwa sudan kwenye vita,thanks gizakuu kweli giza umeliona na mungu anakusikia
 
kwani kujitenga mnaogopa au tatizo la nassari ni lipi kwangu mie naona tuchape kazi tuache mabo ya kujadili vitu visivyo na maana.Ona watu wa huko kaskazini wamekaa kimya kwenye hiyo kauli lakini nyie wa ukanda wa bahari mliozoea kahawa ambayo by the way inazalishwa kaskazini ndo mnapiga kelele.ishu ya kujitenga ilianzia mbali kutoka kwa mariale na siyo tu kwa huyo dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom