AHSANTE MUNGU FOUNDATION COURSE NIMEPASUA TUKUTANE UDSM

Huwezi pata medicine kwa foundation sahau kabisa nenda kaomba kozi za general science
Pia nimepata shida kidogo.. Medicine upate kwa shot cut za foundation kweli? mara ya kwanza nilidhan foundation ya NBAA kumbe wataka kwenda kusomea uhai wetu? Hapana kasome General Science huko.. Utatuuwa wewe medicine hapana
 
Naona TCU wamekata mzizi wa FITINA walio soma FOUNDATION COURES wote mtabaki OPEN UNIVERSITY Ingawaje mwongozo ulikuwa unasema utasoma chuo chochote
 
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu

Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine

TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu

Usome mwongozo wa TCU kama una ndoto ya Medicine rudi tena Form six,foundation wote OUT hakuna cha UDOM wala MUHAS
 
Inaweza aminishwa hivyo kwamba unaweza kuomba chuo chochote lakini ninawasiwasi na perceptions za vyuo vingine dhidi ya hiyo foundation course ya OUT. Jaribu kuomba kwingine lakini OUT iweke first choice to be in safe side.
 
ELIMU YETU BANA HUWA NASHIDWA KUILEWA HUU MFUMO UKIMALIZA DIPLOMA UNASOMA FOUNDATION NDO UNAJIUNGA NA DEGREE NAUONA KAMA HAUPO FAIR
 
soma guideline, kigezo cha Foundation kimewekwa kwa OUT peke yake
Usipotoshe watu
Screenshot_2019-07-14-15-41-06.jpeg
 
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu

Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine

TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
UDSM haaaaa watu na ufaulu wao wameachwa mwaka jana wew na hicho ki foundation chako tayari unajiona UDSM Haaa watu watakuja kulia hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom