Ahsante Muhongo, rais Magufuli na Serikali sikivu ya CCM

Kiizahk

New Member
Dec 26, 2016
4
4
Tsh 20,000 Imefikisha umeme kwa Mjasiliamali huyu (Mmama) na kutimiza ndoto zake!!
Serikali keep it up!!
Watanzania Makini tunatambua kazi kubwa na Nzuri Mnayoifanya kwa Ajili yetu;!
Mwenye kuanza na Moja mwishowe hufika kumi,na mwenye kumi alianza na moja!!
b09d36c71b24c4e3d6965f0ea31182f6.jpg
 
Siyo tanzania. Toa eneo au kijiji ilipo hiyo nyumba tuhakikishe
 
AJABU KWELI MTU UNASIFIA KUPEWA HAKI YAKO..... (SASA HAUJIULIZI UMEME UNALIPIA ALAFU UNAKATIKA).

SIKU YA KUJA KUWASIFIA NI PALE TUTAKAPOKUWA TUMEKAA MIAKA 20 BILA KUKOSA UMEME HATA SEKUNDE MOJA.
 
Habari mbaya sana hizi kwa bavicha.wameanza kuhamisha magoli kwa kusema ni wajibu
Aliesema chadema ni wapumbavu na malofa alikuwa sahihi
 
Sasa hiyo nyumba inawekewa umeme jamani ukitokea upepo tu inapukutika tatizo sio umeme tu je unawekwa nyumba gan?
 
Kila mwenye umeme mjini anatozwa 3% kwa ajili ya umeme vijijini REA hiyo ni hela zetu zimefanyaka kazi na wanapiga tu maana hesabu yake mmmhh
 
Kijijini kwangu hawajafika hawa natamani wafike leo kesho maana TANESCO walivyokokotoa wamepata kiasi kikubwa sana ili nyumba iwekwe umeme.
 
Back
Top Bottom