Ahsante kamanda Lema, Mungu azidi kuwa nawe

Nimepata fursa ya kwenda kumpa mkono wa Krismasi ndugu yangu,rafiki yangu, Kiongozi mwenzangu katika Chama,mpambanaji mwenzangu Kamanda Godbless Jonathan Lema anayeendelea kusotea haki yake katika gereza la Kisongo Mkoani Arusha.

Nimefarijika sana kwa hali niliyomkuta nayo kiafya na kiakili, bado ni mwenye afya njema sana,ucheshi na uimara wa hali ya juu katika misimamo yake kifikra na kimtazamo.

Namuona Lema akizidi kuimarika kifalsafa na kimsimamo kwa yale yote ambayo amekuwa akiyaamini na akiyatamani kwa Chama chake na nchi yake Tanzania. Jambo hili linanifurahisha sio kwamba napenda kumuona rafiki yangu akiendelea kusota rumande hapana kwa sababu najua maisha ya gerezani,nimeyaishi bali nafurahi kuona nafsi yake ikikataa kuingia katika mtego wa watesi wake wa kumkatisha tamaa na kumrudisha nyuma katika azima na ndoto yake ya kulipigania taifa lake.

Hii ni mara ya tatu kwangu kufika gerezani Kisongo kumjulia hali rafiki yangu Lema tangu alipoingizwa katika gereza hilo nkiwa na lengo la kumfariji.kumtia moyo na kumuonesha kuwa tulio nje tunatambua na tunaheshimu dhamira yake njema ya kulipambania taifa lake.

Natambua kuwa na yeye angetamani sana kuwa nje kusherehekea Krismasi na familia yake, haikuwa hivyo, sio kwa kupenda bali ni matokeo ya ndoto kuu aliyonayo kuhusu taifa lake kwa masilahi mapana ya watoto wake na watoto wa wenzake kwa gharama kubwa ya maisha yake watoto wake, mke wake na wazazi wake.Ni kwa hekima hizo nami niliamua kutokula Krismasi na familia yangu!

Nataka Lema ajue na hata watesi wake wajue kuwa anachokisimamia Lema ni ndoto ya wengi, tutaumizwa,tutateswa,tutapotezwa,tutafungwa lakini tuna amini kuwa tunatimiza wajibu wetu, hatumdhulumu mtu wala kumuonea mtu,haki na demokrasia tunayoipigania ni sehemu ya wajibu wetu kwa nchi yetu.

Wengi wamesherehekea Krismasi na familia zao, wakila na kunywa kwa furaha wengine wakina Lema wamekula Krismasi gerezani mbali na familia zao ikiwa na matokeo ya kutetea wengine ili waishi vizuri. Kazi hii haihitaji ahsante wala bakshishi,hakuna fidia yoyote yenye kukidhi malipo stahiki, ni kazi ya kujitoa muhanga ili wengine waishi vizuri,ni kazi inayohitaji uzalendo wa hali ya juu, ni kazi ambayo haina fidia yoyote kulipa gharama ya maisha na hatari ya maisha mtu anayoibeba kwa faida ya wengine, malipo yake ni kwa Mungu tu aliyeamua kuchagua wachache kupigania haki za walio wengi.

Ahsante sana Kamanda Lema kwa kuonesha ukomavu na ujasiri katika kusimamia unayoyaamini, niliwahi kuandika mwanzoni kabisa ulipotoa maono yako kuwa Mungu alikuchagua wewe kwa kuwa alijua kuwa hutoogopa kuwasilisha ujumbe na kwamba walengwa badala ya kukaa na kutafakari kwa kina maono yako kwao wao njia pekee watakayoiona ni bora ni kukushughulikia wewe, unanipa faraja kubwa sana kila ninapokuja gerezani unapooonesha kujiamini na kunipa ujumbe mzito kuhusu harakati zetu,najua hutosoma ujumbe wangu huu usiku huu lakini naamini salaam zitakufikia, unanifariji sana na ninatilia maanani kila neno na kauli yako kwangu kuhusu Chama chetu na harakati tunazoziendesha na mazingira yake.

Nakupenda sana, na kwa kuwa kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho naamini hata lako hili lina mwisho. Mungu akulinde na akuzidishie ulinzi,afya njema,hekima, busara na mapenzi yasiyoyumba kwa nchi yako.

Ahsante kwa Neema mkeo, ni wazi kwa kila anaemuona Neema alivyo madhubuti na kuhimili vishindo unavyopitia wewe mumewe na kubakia imara ni dhahiri watakubaliana nami kuwa ipo siku vitabu vya historia ya nchi hii vitaandika jina lake kwa wino wa dhahabu.

Mungu Ibariki Tanzania
Aluta Kontinua

Salum Mwalim
Naibu Katibu Mkuu
Chadema
25/12/2016
Hivi kumuita mtu mwingine ,"shoga" nayo ni sehemu ya democracy?
 
Mhe Lema anafanya nini gerezani hasa? Anapigania nini? Yaani basi tu kumtukana Rais atatukomboa?
 
Huyu mwalim nikibaraka hajui anachokipigania swal lang ni,juma duni haj yuko wap?
Kuwa na mazoea kusoma vitu vingine zaidi ya majarida ya Shigongo
Wiki iliyopita ameandika makala nzuri Sana jinsi CDM ilivyoinufaisha CUF
 
Nyie mnasemea nje. Ujue hamuwezi feel anavyoteseka nje ya mwamvuli wa politics. Mnamfariji kisiasa hali ya kuwa mwenzenu anakunya na kukujoa alipolala
 
Mwambie SALUM atuambie BEN yupo wapi?????Maana hajawai ata siku moja kutoa waraka wala TAMKO juu ya huyu KIJANA.....it means hajaguswa kupotea kwa HUYU KIJANA ila kaguswa kuwepo kwa LEMA gerezani mpaka kutoa waraka.....
Kwani kiongozi gani wa cdm ambaye unamuona kaguswa.
 
Jibu swali!!!! Mie bado nipo ACT....nakumbuka sana unafiki wako juu ya Lowasaa
hicho kikundi chenu cha wasaliti utabaki wewe na msaliti mkuu Zitto, wenye ajili wameanza kuwakimbia.dhambi ya usaliti ni mbaya sana aisee!
 
Eleza maana ya usaliti....kisha fananisha kama tunafaa kupewa hilo jina la usaliti.
 
Back
Top Bottom