Ahsante CHADEMA kwa kushiri Uchaguzi wa SIHA na KINONDONI

kintu

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
540
133
Nianze kwa kuwashukuru CHADEMA kwa kukubali kushiriki uchaguzi mdogo kwa majimbo ya SIHA ,KINONDONI baada ya kususia ule wa Songea na Singinda ,ukiangalia ule wa Songea na singida watu wengi na mataifa mengine hawakujua kama kulikuwa na uchaguzi pia Dhamira ya serikali na Chama cha Mapinduzi haikuonekana bayana,lakini kwa hili la kinondoni na SIHA mmetoa soma na watanzania na dunia nzima imejua khali halisi iliyopo katika nchiakujua

Wenye Akili wameona na kushuhudia kinachoendelea katika nchi yetu.
Nawapongeza CHADEMA kwa hilo japo mlijua nani atatangazwa mshindi lakini mlikubali kushiriki kwa kutumia gharama kubwa na muda wenu.
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom