Ahsante AIRTEL!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Nikiwa miongoni mwa watu waliopatwa na mkasa
wa kukatwa fedha na Airtel naona si busara kukaa
bila kutoa feedback hapa jamvini kuwa hatimaye fedha
hiyo imerudi kwenye Account yangu! Ahsante kwa
usikivu wenu. Huo ndio usikivu tunaouhitaji. Narudia tena
SALIO LANGU LIMERUDISHWA!
 
Back
Top Bottom