Ahmadinejad: Hakuna dola lolote linaloweza kulipigisha magoti taifa la Iran! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahmadinejad: Hakuna dola lolote linaloweza kulipigisha magoti taifa la Iran!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Oct 26, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Ahmadinejad: Hakuna dola lolote linaloweza kulipigisha magoti taifa la Iran

  ?Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna dola wala kundi lolote linaloweza kulilazimisha taifa la Iran lifanye kitu kinyume na matakwa yake.
  Mheshimiwa Rais amesema hayo leo mbele ya umati mkubwa wa wananchi wa mji wa Sarayan wa kaskazini magharibi mwa mkoa wa Khurasani Kusini hapa nchini na kuongeza kuwa, maadui na hasa madola ya kibeberu hayawezi kulifanya taifa la Iran lipige magoti mbele ya njama na hila zao za kiadui kwani taifa hili linaloongozwa na mwanachuoni mcha Mungu halina sifa tena ya kuwa mtumwa wa mataghuti na mashetani na limeamua kikwelikweli kuwa mtumwa wa Mwenyezi Mungu tu.
  Amesema, leo hii mabepari wasio na ustaarabu ndio wanaodhibiti taasisi na vituo vikuu na muhimu duniani hususan serikali ya Marekani na waitifaki wake na lengo lao ni kuyafunga minyororo mataifa yote ya dunia ili yaweze kuyadhibiti chini ya ubeberu wao. Rais Ahmadinejad ameongeza kuwa, tatizo kubwa la jamii ya mwanadamu katika kipindi chote cha historia hadi leo hii ni kwamba kuna baadhi ya watu wachache ambao badala ya kuwavutia watu upande wa kuwa watumwa wa Mwenyezi Mungu tu, wanawavuta kuwa watumwa wao binafsi.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  HUyu naye wanamvutia kasi
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyu mwambie aache kumake noisy maana wanaweza kumkatakata na kumroast kama nguruwe
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  The great prezda who remain!keep it up
   
 5. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mashaalah!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bora amshauri yule babu yao anyowe ndevu maana anawaumiza wajukuu mbavu pale anapokunywa maziwa.
   
 7. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Keep on it,go without fears.....time for puppetists to react then to work fo their people not the western demands.big-up Ahmednejad!
   
 8. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hawa ndo mashujaa pekee walosalia nijad na hugo chavez. Hawasikiliz saut ya Simba akinguruma na kufyata mkia. Bravo Ahmednijad,keep it up.
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Namkubali kwa msimamo thabiti usioyumba hata kidogo,kila siku amekuwa ni mtu anayesimama katika kile anachoamini ni kweli.
   
 10. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mtu pekee aliyebaki amesimama na anaweza kuinua kifua mbele pamaoja na Hugo Charves
   
 11. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nan zaid ya Us ?
   
 12. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 180
  Huyu ndiye rais kidume alobakia!
   
 13. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  hapana chezea
   
 14. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2015
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 7,751
  Likes Received: 4,776
  Trophy Points: 280
  wewe ni ke au me
   
 15. n

  nimebadika juzi Senior Member

  #15
  Jun 21, 2015
  Joined: May 29, 2015
  Messages: 183
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  gadafi pia mlisema hivi mmarekani hashindwi na kitu akiamua
   
 16. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  why u axk me so what?
   
 17. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  usa ni kina nan kwako? mwnyw umebadilika juz
   
 18. n

  nimebadika juzi Senior Member

  #18
  Jun 21, 2015
  Joined: May 29, 2015
  Messages: 183
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sema tu cjui ila nackia saudi inamsaidia yemen kupigana na msyria et ni kwel?kwa maana mi najua wote ni wamoja
   
 19. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2016
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  iran ipo juu kuliko israel
   
 20. Ciprofloxacin.

  Ciprofloxacin. JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2016
  Joined: Apr 15, 2015
  Messages: 1,099
  Likes Received: 1,402
  Trophy Points: 280
  Kama hujui ni bora ukakaa kimya... siyo lazima na wewe uonekane kuwa umechangia.
   
Loading...