AHJ-WAJAMAA chama kipya cha siasa hapa nchini kinataka kuanzishwa

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Oct 27, 2018
424
427
Habari wana JF...
Kuna nyeti kubwa nimepata kuwa kuna chama kipya cha siasa hapa nchini kinataka kuanzishwa..

Tayari kimeshapitia hatua zote
Kilichosalia kupata Ofisi ya msajili kutoa Usajili wa mda..


Sasa wadau tujadiliane hivi kuna lipi jambo hapa kwa kina mwenye kujua Undani
IMG-20190518-WA0000.jpg
FB_IMG_15384960671010277.jpg
Screenshot_2019-05-24-16-13-03-1.jpg
 
Membe atafanya yafuatayo;
Atawajali watumishi maslahi yao.
Atawajali wakulima haki zao(korosho)
Atawajali graduates.
Atawajali wawekezaji.
Hatapiga watu risasi.
Hatateka na kupoteza watu.
Atachagua wasaidizi Bora wenye lugha nzuri
etc
Hahahaha team Membe mmeanza mapema sanaa ila ndio nzuri .kioa la kheri sisi tutaomba na atakae faa basi atashinda
 
Membe atafanya yafuatayo;
Atawajali watumishi maslahi yao.
Atawajali wakulima haki zao(korosho)
Atawajali graduates.
Atawajali wawekezaji.
Hatapiga watu risasi.
Hatateka na kupoteza watu.
Atachagua wasaidizi Bora wenye lugha nzuri
etc
Huyo kaka yake na Escrow si za umma kwani yeye hakufisadi akaridhika enzi zao??
 
Membe atafanya yafuatayo;
Atawajali watumishi maslahi yao.
Atawajali wakulima haki zao(korosho)
Atawajali graduates.
Atawajali wawekezaji.
Hatapiga watu risasi.
Hatateka na kupoteza watu.
Atachagua wasaidizi Bora wenye lugha nzuri
etc
Hahah,kumekucha
 
Membe atafanya yafuatayo;
Atawajali watumishi maslahi yao.
Atawajali wakulima haki zao(korosho)
Atawajali graduates.
Atawajali wawekezaji.
Hatapiga watu risasi.
Hatateka na kupoteza watu.
Atachagua wasaidizi Bora wenye lugha nzuri
etc
Heri hyu wa kulalamika na kufoka foka ovyo, mjuaji wa kila kitu aangukie pua
 
Back
Top Bottom