Ahadi zicpovunjwa zinaishi milele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi zicpovunjwa zinaishi milele

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Spinster, Sep 20, 2012.

 1. Spinster

  Spinster JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Embu fikir tangu umeingia kweny ulimwengu huu wa mapenzi umesha weka ahad na watu wangap?
  umesha waliza wangap kwa sabab ya mapenz? wengn walishavisha pete au kuvishwa pete na kuachwa wakiumia ?
  na umeshawah kujiuliza baada ya hayo yote kwa nn maisha yako ya mapenz yamekua yanasuasua,hata ukimpata unaempenda bado mausiano yenu hayana aman mpaka mnashndwa kufikia malengo!??
  AHADI.....
  ahad ulizoweka badi zinaishi na zinaathir maisha yako.ya mapenz,yale ni maagano ambayo uliweka mkiwa wawil na hukavunja bila kulidhiana...
  ushaur:
  kama unajua uwez kutimiza ahad bora ucweke...kama upo na mtu jst 4 part tyme ...bora mwambie cz ahad ni deni..na dawa ya den kulipa..xo b careful whn makng promic
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Wadada wengine hawapatikani kwa urahisi mpaka umpige maahadi ya kufa mtu ....
  Ila nakubaliana na wewe si jambo jema kutoa ahadi ambazo huwezi kuzitekeleza maana ni kumvunja moyo na kumtia huzuni yule aliyepewa ahadi hizo kama hazitatekelezeka.
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,126
  Trophy Points: 280
  Kwa mtaji huo basi NIMETOKA KIMAISHA coz nikihesabu ahadi nilizoahidiwa toka 15 yrs mpaka leo, nikianza kucollect PRINCIPAL+INTEREST(considering time value of money ofcourse @ CPA) baasi nitakuwa na BONDS na BILLS za kufa mtu! ukizingatia market rate imetripple since i was 15. Sema tu inflation ndo itaniangusha, na purchasing power nayo mmmh! Ila still embu wahimize sie tulieahidiwa tukajichukuliE, wamejisahaulisha AHADI NI DENI,! Ngoja ni tweet hii thread yako coz all my X'S na X'S to be wapo tweeter huenda mmoja akpunguza deni!!! NANI KANUNA!!!! LOLEST!!!!
   
 4. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko sawa kabisa na mada yako, wanaume ndo zenu hizo kutudanganya, baada ya kupata ulichokuwa unataka unasepa na kumwacha mwenzio analilia 2, jua kilio chake mungu anakisikia kutokana na ahadi ulizoweka mkiwa wawili. unakuta baada ya kuachana na mpenzi wako huo hupati tena mpenzi yule unayemhitaji au mapenzi yanakwendea hovyo, na huchelewi kusema ooh yule niliyeachana nae mwanzo kaniloga, kumbe ulijiloga mwenyewe na ahadi zako zisizotimia, kumbuka mwanamke akipenda kapenda kweli na si mchezo.
   
Loading...