Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,363
- 2,372
Habari,
Akilihutubia bunge kwa mara mwisho mara baada ya kuteuliwa kuwa makamu wa Rais, Dr Philip Mpango ameahidi kuwa miradi yote iliyoachwa na hayati Rais Magufuli lazima ikamilishwe. Dr Mpango ameitaja miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, Maji ,Afya etc kuwa kukamilika kwa miradi hiyo ndiyo njia pekee ya kumuenzi kipenzi cha watanzania Dr. Magufuli, hivyo anaenda kutumia nguvu na uadilifu wote kuhakikisha miradi hiyo inakamilika.
My take:
Ahadi hii ya Dr Mpango ni pigo kubwa kwa mafisadi kwani kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.
Godbless Lema, Tundu Lisu hawazungumzii kabisa maendeleo ya Chadema wao ni bize kumpangia cha kufanya Rais Samia, hivyo kukamilika na kuzinduliwa kwa miradi hiyo itakuwa ni aibu kubwa sana kwa Chadema na mafisadi wote wasioitakia mema nchi yetu.