Ahadi yako iwapo Stars itafuzu 16 bora

Stars ni timu yetu ila kuchukua kombe AFCON ni big No! Ni ngumu sana
 
Hata hapo pia si rahisi sana! Kundi letu lina nchi 2 vigogo, hata hao Kenya si wepesi kihivyo! Ila tunaiombea ifanye vema kwani itakuwa ni sifa kwa Nchi yetu!
Makundi yapo sita manne kati ya sita yatatoa timu tatu tatu kila kundi kwa hiyo tunahitaji kushinda mechi moja tu na sare moja
 
Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa.
Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani
Weka ahadi yako tafadhali
rafiki jiandae kisaikolojia - mie nafurahi tumefika hapo. lakini kuendelea inawezekana kwa MUUJIZA -ila ki ukweli baaadoooo
 
Back
Top Bottom