PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,211
- 4,170
Anaichuki wakati ndio imewapa tiketi ya viti maalum?Mkuu unaichukia simba
Anaichuki wakati ndio imewapa tiketi ya viti maalum?Mkuu unaichukia simba
Haaaaaah 😂😂😂😂😂😂Nitatafuna Mua kwa mkundu hadharani.
Mkuu ipo siku Starz itashangaza duniaStars ni timu yetu ila kuchukua kombe AFCON ni big No! Ni ngumu sana
Hata matokeo yao mabaya yanashangaza dunia..Mkuu ipo siku Starz itashangaza dunia
Jitahidi umpe Mo HatiNitaipa Yanga Million 100
Tunazungumzia kuingia hatua ya 16Stars ni timu yetu ila kuchukua kombe AFCON ni big No! Ni ngumu sana
Hata hapo pia si rahisi sana! Kundi letu lina nchi 2 vigogo, hata hao Kenya si wepesi kihivyo! Ila tunaiombea ifanye vema kwani itakuwa ni sifa kwa Nchi yetu!Tunazungumzia kuingia hatua ya 16
Makundi yapo sita manne kati ya sita yatatoa timu tatu tatu kila kundi kwa hiyo tunahitaji kushinda mechi moja tu na sare mojaHata hapo pia si rahisi sana! Kundi letu lina nchi 2 vigogo, hata hao Kenya si wepesi kihivyo! Ila tunaiombea ifanye vema kwani itakuwa ni sifa kwa Nchi yetu!
rafiki jiandae kisaikolojia - mie nafurahi tumefika hapo. lakini kuendelea inawezekana kwa MUUJIZA -ila ki ukweli baaadooooWengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa.
Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani
Weka ahadi yako tafadhali
nakazia...tutakua wawili,,na tukio hili tutalifanya pale tazaraNitatafuna Mua kwa mkundu hadharani.
Kwan wali hua unawekwa sukari mkuuNitakula wali wa chumvi.