Ahadi ya mheshmiwa rais yaibua utata mpya

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,494
2,040
Ni jambo gumu sana kuwaridhisha watu wa dini kwa kujifanya unawatimizia matakwa yao hasa ya kidinidini kila ukijaribu kufanya hivyo utajikuta unatengeneza mgogoro na dini nyingine.

Kuna watu wa dini moja tangu nianze kuwafaham wao ni kudai upendeleo maalum katika kila jambo. Namshauri rais apunguze spidi ya kuwajibu watu wa dini awaache tu waendelee kuongoza waumini wao kunako nyumba za ibada.
 
ni jambo gumu sana kuwaridhisha watu wa dini kwa kujifanya unawatimizia matakwa yao hasa ya kidinidini kila ukijaribu kufanya hivyo utajikuta unatengeneza mgogoro na dini nyingine. kuna watu wa dini moja tangu nianze kuwafaham wao ni kudai upendeleo maalum ktk kila jambo. namshauri rais apunguze spidi ya kuwajibu watu wa dini awaaji tu waendee kuongoza waumini wao kunako nyumba za ibada.

Ni kama wale watu wa dini flani walipodai tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya imejaa waislamu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom