The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Ni jambo gumu sana kuwaridhisha watu wa dini kwa kujifanya unawatimizia matakwa yao hasa ya kidinidini kila ukijaribu kufanya hivyo utajikuta unatengeneza mgogoro na dini nyingine.
Kuna watu wa dini moja tangu nianze kuwafaham wao ni kudai upendeleo maalum katika kila jambo. Namshauri rais apunguze spidi ya kuwajibu watu wa dini awaache tu waendelee kuongoza waumini wao kunako nyumba za ibada.