Ahadi ya maji kuwa mita 400 toka wanapoishi!! Huyu ni JK na hii ni CCM....

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,070
184
.."Kwa kuwa tatizo la uhaba wa maji ya binadamu ni kubwa sana na tunataka tuongeze kasi ya kukabiliana na tatizo hilo tumeona tuiondolee wizara hii mzigo wa umwagiliaji ili ibaki na kazi moja tu ya kuhakikisha kuwa watu wanapata maji safi na salama mita 400 kutoka wanapoishi.

Kila la kheri,tunakusubiri 2015 unapotuaga @kwa kishindo" huku ukiwa hujatekeleza hili.....
 
Back
Top Bottom