Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,053
- 4,499
14 Oct 2015@MagufuliJP: Nitaunda serikali ndogo ya watu makini, waadilifu, wachapakazi, werevu na waliotayari kushughulikia kero za wananchi.
Jee vipengele vipi ambavyo bado havijatekelezwa ya kuridhisha kama tulivyoahidiwa hadi sasa? Ninatambua hadi sasa kipindi alichotumia ni kifupi sana, bado tuna muda mrefu lakini si mbaya kukumbushia tuliyoahidiwa. Pia ni kukumbushia mamlaka zinazohusika kuzingatia haya mambo haya ya msingi ambayo mheshimiwa JPM aliahidi watanzania, ili zisipotee njia (zisiende 'astray'!).
Mimi naona No. 3 hadi 10 bado hazijatekelezwa au tunapotea njia.