Ahadi ya kupungua kwa Gharama za Vifurushi vya Mitandao imeishia wapi?

Mbona Muheshimiwa Supika nae anatamani hiyo gharama iongezwe mara dufu ili vijana wafanye kazi badala ya kushinda kutwa kwenye hiyo mitandao!!

Tumsikilize nani hapa! Waziri au Muheshimiwa Supika? 😇
 
Habarini wana jamvi
Hivi jamani hii kitu imeishia wapi maana tuliambiwa tusubiri sijui tarehe 28 Feb mambo yatakuwa fresh, Ila hadi now naona holaa
Hivi wanasiasa wanatuonaje sisi

Au kuna ambaye kwa upande wake kashaanza kupata unafuu baada ya hio tar 28?
Daah
Nilidhani kupungua kwa kilo za mwiliii
 
Mbona Muheshimiwa Supika nae anatamani hiyo gharama iongezwe mara dufu ili vijana wafanye kazi badala ya kushinda kutwa kwenye hiyo mitandao!!

Tumsikilize nani hapa! Waziri au Muheshimiwa Supika? 😇
Hapa mtandaoni ndo hatutoki hata wapandishe being kiasi gani
 
Habarini wana jamvi
Hivi jamani hii kitu imeishia wapi maana tuliambiwa tusubiri sijui tarehe 28 Feb mambo yatakuwa fresh, Ila hadi now naona holaa
Hivi wanasiasa wanatuonaje sisi 🤔🤔

Au kuna ambaye kwa upande wake kashaanza kupata unafuu baada ya hio tar 28?
Daah 😌😌
Wanasiasa wanatuona Kama ma zombie fulani.
Wakikaribishwa kwa maongezi na makampuni ya simu wanaandaliwa chai nzito, mayai mawili, sausage mbili, mishkaki miwili, kitimoto roast kilo moja na beer mbili. By the time mazungumzo yanaanza wanakua wamelala Kama wanavyolala bungeni. Wakija kustuka wanaambiwa watie sahihi bila kusoma maudhui.
Wanakuja kustuka wamesaini bundle ya elfu tano Ni 2.5 Gb too late.
 
Badiliko nililiona ni kuwa tangu Jana Voda yangu inasoma 3G..😊 internet imekuwa speed mpk raha.
 
Habarini wana jamvi,

Hivi jamani hii kitu imeishia wapi maana tuliambiwa tusubiri sijui tarehe 28 Feb mambo yatakuwa fresh, Ila hadi now naona holaa
Hivi wanasiasa wanatuonaje sisi 🤔🤔

Au kuna ambaye kwa upande wake kashaanza kupata unafuu baada ya hio tar 28?

Daah 😌😌
Minaona ndiyo wamepandisha Mara dufu mfn line yangu ya Airtel ilikuwa 1000 siku 3, Gb 1, dk 110 asaivi napata dk izoizo ila MB 500 bl sms
Voda ikawa Kama ivyo hapo juu ilawao ni dk 100 asaivi gharama ni 2000 nadhan niongezeko Mara mbili ya ghrama za awali tigo Tena ndyo dah acha nisiseme 😓😓😓chakuhuzunisha zaidi ukilipa tu iyo ghrama 4G inakuja Mara mojamoja mda wote ni 3g Yani sijui hta huo mpango wakupunguza Kama wanakumbukumbu yake sijui nirud nyumbani kumenoga kweli
 
Ukiamini mwana siasa inabidi kuchunguzwa kichwani, saivi wanapandisha badala ya kushusha, GB 1 tutanunua kuanzia elf 2 hadi 9, wakati saivi ni buku tu
 
Back
Top Bottom