Ahadi tu ya kuchunguza elimu ya Bashite na tuhuma nyingine zinazomkabili,inatosha kabisa kuwapa wapinzani ushindi mkubwa panapo Tume Huru ya Uchaguzi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,326
Naomba niseme tu kuwa,katika uchaguzi mkuu wa mwakani(2020),wapinzani wakija na ahadi ya kuchunguza elimu ya Makonda na tuhuma nyinginezo kama ile ya uvamizi na tutakawa na Tume Huru ya Uchaguzi,ninahaki wapinzani watapata kura nyingi sana bara na visiwani.

Wanachohitaji tu ni kuja na sera zingine nzuri zinalonge kulenda maendeleo ya watu ili kunogesha ushindi na hakika watapa kile wazungu wanachokiita "landslide victory".

Hata kwa wabunge watakaokumbusha tu madhaifu ya huyu bwana majukwaani,nao pia watawavutia wapiga kura wengi kwani huyu mtu ni tatizo la Taifa kwa sasa.

Habari ndio hiyo kuelekea 2020.
 
Hata uwe na gubu vipi hiyo bikira yako ilishatolewa na Bashite,

Kuporomosha nyuzi mfululizo za kumtukana mtoa bikira yako haitakusaidia kitu
 
Hata uwe na kubu vipi hiyo bikira yako ilishatolewa na Bashite,

Kuporomosha nyuzi mfululizo za kumtukana mtoa bikira yako haitakusaidia kitu
We sema usemavyo,ila ujue Bashite ni mzigo usiobebeka na utawagharimu tena sana tu.
 
Huwezi kuingia ikulu kwa kuahidi kuchunguza elimu ya mtu
Halafu wewe ndio think tank wa chadema!acha tu ccm watawale kwa vichekesho hivi
 
Hata uwe na gubu vipi hiyo bikira yako ilishatolewa na Bashite,

Kuporomosha nyuzi mfululizo za kumtukana mtoa bikira yako haitakusaidia kitu
MTU aliyeshindwa kumzalisha mke wake mpaka kupandikiza!!!? Ndio......

Elitwenge unajielewa kweli!!?

Punguza jazba, Bashite anajidhalilisha mwenyewe .....

Yanayotokea ni madhara ya kujitutumua kama Kifutu au Chatu kwa mujibu wa Baba Askofu Dk. Shoo.

Punguza matusi, jikite ktk kumsaidia Bashite abadilike.
 
So far so good Mtoto anae sio mbaya hongereni kwenye chama chenu hakuna wagumba
 
Hata uwe na gubu vipi hiyo bikira yako ilishatolewa na Bashite,

Kuporomosha nyuzi mfululizo za kumtukana mtoa bikira yako haitakusaidia kitu
Mtatuliwa marinda anaweza mtoa mtu bikira maajabu. Ndiyo hivyo vijana wa siku hizi mnafutuka tu.
 
Back
Top Bottom