Ahadi tano za kizalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi tano za kizalendo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PayGod, Sep 24, 2010.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  • Chadema ni tumaini jipya, na Rais 2010-2015, ni Dr SLAA
  • CCM ni adui wa Demokrasia na haki, na sitakubali kuichagua wa kuongozwa nayo
  • Nitaipigia kampeni Chadema kadri ya uwezo wangu na kuwachagua akina SLAA, wengi ili bunge letu liwakomeshe mafisadi
  • Akili ni mali, sitatumia akili yangu wala mali yangu, kukampenia CORRUPTION CONTINUATION MOVEMENT(CCM)
  • Nitasambaza ujumbe huu kadri ya uwezo wangu, ili tukomboe taifa letu
   
 2. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakika hizi ni ahadi thabiti za kizalendo kwa kila mwenye mapenzi mema na nchi yetu Tanzania

  1. CHADEMA ni tumaini jipya, na Rais 2010-2015 ni Dr. SLAA.
  2. CCM ni adui wa demokrasia na haki, sintakubali kuichagua wala kuongozwa nayo.
  3. Nitapiga kampeni kwa kadiri ya uwezo wangu wote na kuchagua wakina SLAA wengi Bungeni kwa faida ya watanzania wote.
  4. Akili ni mali, sintatumia akili yangu, wala Mali yangu kukampenia Corruption Continuation Movements (CCM)
  5. Nitasamba ujumbe huu kwa kadiri ya uwezo wangu, ili tulikomboe taifa letu Tanzania, Ee Mungu unisaidie.
  CHADEMA is a right decision for the change.
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matatizo ya bia za bure. :becky: :becky: :becky:
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  nin wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
   
 5. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hata kama zingekuwa za dezo, Still CHADEMA ni tumaini jipya na raisi ni Dr. SLAA. Mabadiliko ya kweli katika Tanzania yanawezekana kupitia CHADEMA.
   
 6. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wasiwasi wangu ni juu ya uwezo CCM katika kumuinua mtanzania. Ikiwa imeshindwa kulifanya hilo kawa zaidi ya miaka 49 katika uongozi wa nchi.

  Uwezo wangu wa kufikiri ndio unaonipa uhakika wa kuwepo mahitaji ya mabadiliko ya kweli katika siasa za nchi hii, ili tanzania iweze kutumia rasilimali zake vizuri kwa maendelea ya wananchi wake. Tumia kura yako ya ndio kwa Dr. SLAA
   
 7. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunagawana umaskini karbu na wewe angaa moja!!!
   
 8. N

  Ndeusoho Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pamoja na kuwa hayo ni mawazo ya mtu binafsi hakuna kosa kwa maoni yake hayo. Tatizo naliona kwa wale wanaomkosoa kwa kudhani wanajua kumbe hawajui. Kama wanataka kuhalalisha maoni yao basi watoe hoja zinazofaa na ziungwe mkono.
   
Loading...