Ahadi fake[emoji173]

Sio tabu ndio kitu unashindwa kujua wadada tuna tabia moja endapo ukija kwangu bila malengo na mimi ukanichukulia me mtu wa starehe yaan hyo ni nafas kubwa sana kuitumia ili kutimiza malengo coz hmn wanaume wanao jisahau kama wapnda starehe ujisahau sana ndo maan unakuta mtu ana mke lakin bdo ana mwanamke wa nje sasa mwanamke wa nje akijua wew ni mume wa mtu unazani atakuacha salama anaakikisha anakukwangua mpk hela ya kuacha matumizi nyumbn unakosa so ukiona mdada anatembea na mume wa mtu jua yuko kwa malngo yake binafs tia hakirini ilo lisikuponyoke enda nikawa nimekutibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakirini ndio wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ni mzima wa afya.

Huwa natembelea majukwaa yote hapa JF.

Huwa nachangia pale inapobidi.
Sawa sawa mkuu, ni kwa sababu mimezoea kukuona kule kwenye jukwaa letu lile muhimu la kiteknolojia.

Siku si nyingi nitakuomba msaada wako wa huduma kule, kuna kifaa nakihitaji kutoka kule duniani. Ahsante na ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom