Shida iko wap nikwamba kinacho andikwa hakisomeki au ? any way thank u.Uandishi wako unaonyesha bado wewe ni mgeni hapa jf no matter you joined dec 8.
mimi aliekua wangu amepewa uheshimiwa wilaya moja huko mkoani pwani
Umetembea na waume za watu wangapi?
Ukiachana na huyo wa masters njoo kwangu wa post doctoralAaah brother me nikiachana na mtu wa digilii basi natafuta mtu wa masters ili ajue kuna bora zaidi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ni kwanini alienda zake na kuachana na wewe?
Je kuna kitu cha kujifunza kutokana na mahusiano uliyokuwa nayo?
Je unadhani wapi ulikosea??
Hakirini ndio wapi mkuu?Sio tabu ndio kitu unashindwa kujua wadada tuna tabia moja endapo ukija kwangu bila malengo na mimi ukanichukulia me mtu wa starehe yaan hyo ni nafas kubwa sana kuitumia ili kutimiza malengo coz hmn wanaume wanao jisahau kama wapnda starehe ujisahau sana ndo maan unakuta mtu ana mke lakin bdo ana mwanamke wa nje sasa mwanamke wa nje akijua wew ni mume wa mtu unazani atakuacha salama anaakikisha anakukwangua mpk hela ya kuacha matumizi nyumbn unakosa so ukiona mdada anatembea na mume wa mtu jua yuko kwa malngo yake binafs tia hakirini ilo lisikuponyoke enda nikawa nimekutibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mume wangu sahiviYuko wapi mzenzi wako uliye mpenda mlikuwa mkiahidia hmto achana mpk kufa,mnapanga kuzaa watoto mapacha mnaandaa na mjina ya hao watoto mnapnga mpk mtakavo vaa siku ya harusi yenu tukumbushane tu me wangu alienda na maji..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan unajua unacho kiona au unacho kiona unakijua mbona maswali au nikikuambia itakusaidia nn wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako unaenda mbali na mada mi nimesema tujikumbushe we unanichimba maswali dah!utanitia kaka anguKwani huu uzi ulileta ukijua utatusaidia nn?
Tatizo lako unaenda mbali na mada mi nimesema tujikumbushe we unanichimba maswali dah!utanitia kaka angu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru ni mzima wa afya.
Haya amka uende shule.
Sawa sawa mkuu, ni kwa sababu mimezoea kukuona kule kwenye jukwaa letu lile muhimu la kiteknolojia.Nashukuru ni mzima wa afya.
Huwa natembelea majukwaa yote hapa JF.
Huwa nachangia pale inapobidi.
Hahaaaππππππππππππππ