Ahadi endelevu katika uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi endelevu katika uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Negative255, Sep 5, 2010.

 1. N

  Negative255 New Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wa haraka haraka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, nimeshuhudia wanasiasa wengi wakishidwa kutimiza ahadi walizotupa hapo mwanzo. Na sasa wanarudi tena katika majukwaa ya siasa na kutuomba ridhaa ili tuwape muda mwingine, cha kushangaza ni kwamba! baada ya kukaa na kutueleza ni vipi wameshindwa kutimiza ya mwanzo bali wanaendelea kutupa ahadi mpya ZAIDI na sisi tunawashangilia.

  Hatujachelewa sana, muda wetu ni huu
   
Loading...