Ahadi aliyoshindwa kutekeleza Mbunge Msigwa yatekelezwa na CCM Iringa Mjini

Nilidhani MAJI au huduma za afya au shule au vyuo kumbe TV,si bunge lilizuiwa eti watu watakuwa hawafanyi Kazi sasa hapo sokoni watafanya SAA ngapi biashara huku wanaangalia TV,Msigwa asingeruhusiwa kuweka TV hapo
Fact. Wanawahi kusahau
 
Hilo hitaji la umuhimu sana kwa wana Iringa mjini!
 
*AKILI YA MSIGWA INAHITAJI MSASA*

Akili ya mbunge msigwa inahitaji msasa kusafishwa sio mzma hakika kwa namna anavyojipambanua katika maandiko yake yaliyokosa weledi na kupandikiza chuki .

Na kama watu wanaliona hili ni jambo LA kuchekewa wanapotoka hakika ...tunahitaji kukemea pepo lililomwingia mtumishi huyu

Haiwezekani kuwa na mbunge asie na maono aliyejaa chuki ,mpinga maendeleo mwenye wivu na asiyefikiri kabla ya kuzungumza au kuandika

Niliwahi kusema wachungaji wa namna hii ni hasara kwa Taifa letu lakin chakusikitisha bado kuna malimbukeni wachache wanapiga makofi na kumpongeza mtumishi huyu asiye na staha

Nadhani ni muda muafaka wa huyu mchungaji kujisahihisha na kutubu juu ya Yale yanayotokea ndani ya chama chake maana ni LAANA hakika

Uasi na uroho wa madaraka hupofusha akili na ubongo ndio mana Leo anawaza watu wasinunue bidhaa ili hali watanzania wanahitaji kipato chao kikue na uchumi ukue zaidi

Ni vyema ukarudi nyuma ukamuomba sosopi radhi kwa Yale uliyomfanyia Nyasa pili utubu juu ya kuasi kanisa naamini utapata msamaha na akili itarudi katika hali ya kawaida.

Nikuonye kuwa mambo haya hayatavumiliwa na unapaswa kukemewa ili roho iliyokuingia itoke maana umepata upofu ambao unahitaji macho ya rohoni ili uweze kuona jlnayoyatenda kuwa sio sahihi.

Omba radhi kwa andiko lako lililokosa utu, haya mbele ya mwwnyezi Mungu ..ukiendelea kushupaa utaaibika .

Tanzania ni moja usitugawe tunahitaji kuuza na kununua ili maendeleo yawanufashe watanzania.
Kwa nini kwanza usisafishe tope kwenye ubongo wako.Kichwa taka tu hicho
 
ka TV ndio mjitangaze? nyie watu n matahira
hitaji LA watz n ki TV cha elfu 50?
nan kawaloga nyie matahira?
 
*AKILI YA MSIGWA INAHITAJI MSASA*

Akili ya mbunge msigwa inahitaji msasa kusafishwa sio mzma hakika kwa namna anavyojipambanua katika maandiko yake yaliyokosa weledi na kupandikiza chuki .

Na kama watu wanaliona hili ni jambo LA kuchekewa wanapotoka hakika ...tunahitaji kukemea pepo lililomwingia mtumishi huyu

Haiwezekani kuwa na mbunge asie na maono aliyejaa chuki ,mpinga maendeleo mwenye wivu na asiyefikiri kabla ya kuzungumza au kuandika

Niliwahi kusema wachungaji wa namna hii ni hasara kwa Taifa letu lakin chakusikitisha bado kuna malimbukeni wachache wanapiga makofi na kumpongeza mtumishi huyu asiye na staha

Nadhani ni muda muafaka wa huyu mchungaji kujisahihisha na kutubu juu ya Yale yanayotokea ndani ya chama chake maana ni LAANA hakika

Uasi na uroho wa madaraka hupofusha akili na ubongo ndio mana Leo anawaza watu wasinunue bidhaa ili hali watanzania wanahitaji kipato chao kikue na uchumi ukue zaidi

Ni vyema ukarudi nyuma ukamuomba sosopi radhi kwa Yale uliyomfanyia Nyasa pili utubu juu ya kuasi kanisa naamini utapata msamaha na akili itarudi katika hali ya kawaida.

Nikuonye kuwa mambo haya hayatavumiliwa na unapaswa kukemewa ili roho iliyokuingia itoke maana umepata upofu ambao unahitaji macho ya rohoni ili uweze kuona jlnayoyatenda kuwa sio sahihi.

Omba radhi kwa andiko lako lililokosa utu, haya mbele ya mwwnyezi Mungu ..ukiendelea kushupaa utaaibika .

Tanzania ni moja usitugawe tunahitaji kuuza na kununua ili maendeleo yawanufashe watanzania.
Kaaazi kweli kweli
 
CHAMA cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa mjini kimetekeleza ahadi ya TV iliyoahidiwa wakati wa kampeni za ubunge mwaka 2015 na mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (Chadema) katika soko kuu la Manispaa ya Iringa .

Akizungumza leo mara baada ya kukabidhi TV hiyo na king'amuzi chake kwa uongozi wa soko kuu mjini Iringa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa mjini Said Rubeya alisema kuwa CCM imelazimika kutekeleza ahadi hiyo ya TV nchi 58 baada ya wafanyabiashara wa soko hilo kuomba kusaidiwa TV hiyo kwa ajili ya kufuatilia habari mbali mbali zinazojiri nchini wakiwa katika sokoni hapo .

Alisema pamoja na kuwanunulia TV hiyo aina ya Sumsung wamepata kuwanunulia king'amuzi pamoja na kuwalipia malipo ya mwezi mmoja kuwa lengo la CCM kufanya hivyo ni kuendelea kuwahudumia wananchi na kutatua kero mbali mbali za wananchi bila kujali itikadi za vyama vyao .

" CCM tumeendelea kutekeleza ahadi mbali mbali ila kama mtakumbuka kata ya Kihesa kulikuwa na jengo ambalo lilikwama kwa zaidi ya miaka 10 ila baada ya CCM kushinda katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kihesa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Salim Abri aliahidi na tayari ametekeleza hivyo CCM tukiahidi tunatekeleza wenzetu wakiahidi wanatelekeza ahadi zao "

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) alisema kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Magufuli aliwaagiza viongozi wa CCM kwenda kutatua kero za wananchi na ndivyo ambavyo CCM Iringa mjini imekuwa ikifanya hasa ukizingatia kuwa chama kinachotawala ni CCM hivyo lazima CCM kutatua kero za wananchi bila kujali zilitolewa na upinzani ama CCM .

" Hatupendi kuona wananchi wanasikitika ama wanapoteza haki zao hivyo tutawasikiliza na kutatua kero zao wenzetu wanaahidi bila kutekeleza ila sisi kama CCM tutahakikisha ilani yetu inatekelezwa kwa nguvu zote na tutakwenda tena kuwasikiliza wanahitaji nini "

Katibu wa CCM Iringa mjini Marko Mbanga alisema kuwa kuwa pamoja na CCM kutekeleza ahadi ya mbunge Msigwa wa Chadema ila imeendelea kusaidia jamii katika shughuli za maendeleo kama kutoa bati 300 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa vyumba vya madarasa na kutoa elimu kwa wanawake juu ya ujasiliamali .

Alisema kuwa kutoka na wapinzani kufanya kazi ya kwenye mitandao ya kutukana na kubeza CCM ila wao CCM kazi yao ni kuwakomboa wananchi na kuona wanatatuliwa kero walizo nazo na kudai kuwa kwa kazi zinazofanywa na CCM Iringa mjini ndizo zinapelekea madiwani zaidi ya Chadema kujiuzulu na kujiunga na CCM .

" Hadi hivi sasa CCM toka madiwani wa kata watatu sasa ina madiwani 9 waliohamia CCM hivyo ndio maana tunasema madiwani waliobaki nje ya CCM wajiunge na CCM timu ya maendeleo maana shabaha kubwa ni kuwatumikia wananchi "

Katibu huyo wa CCM Iringa mjini alisema kumekuwepo na maneno mengi yasiyo ya kweli juu ya CCM kununua madiwani wa Chadema na kuwa suala hilo halipo kwani CCM haina pesa za kununua diwani ina pesa za kuwaletea wananchi maendeleo .

Mwenyekiti wa soko kuu la Iringa Sturmi Fussy akishukuru kwa msaada huo alisema kuwa TV hiyo ni ukombozi mkubwa kwa wafanyabiashara sokoni hapo kwani itawapunguzia muda wa kutoka katika eneo lao la kazi kwenda kutazama TV nje ya soko hilo hata hivyo aliomba CCM kusaidia daladala kufika eneo hilo la soko ili kuongeza wateja zaidi katika soko hilo
846a6d61fa08d69225aeb321650e427b.jpg
17684b5058f7c2fdaa2258f28d2b9a9e.jpg
Unafiki mtupu!
 
Mangapi ambayo yako kwenye ilani ya CCM mpaka sasa hayajatekelezwa?

CCM waliahidi wasichana wenye ujauzito na watoto watarudi shule! Leo hii watoto wametukanwa na sultan na kupigwa marufuku kukanyaga shule za umma!

Uchumi wa viwanda?

Ajira za watanzania?

TV ambayo thamani yake haizidi 5mil na king'amuzi sio ni jambo ambalo halikuwepo kwenye ilani na sio kipaumbele cha CCM wala Msigwa.

Barabara ngapi zimejengwa kwa kiwango cha lami hapo Iringa kwa miaka 2 iliyopita? Hospital ya wilaya?

Mama Mbega (CCM) alipokuwa mbunge wa Iringa mjini kipi kikubwa ambacho alikifanya na Leo hii mnaweza kusimama na kujivunia?

Kama msaafu wenu wenyewe mmeukana, ni haki yenu kurukia rukia vitu visivyo na mantiki
 
Yaani Na picha Yamepiga Kabisa Kisa TV Na King'amuzi cha Laki moja na Nusu Hiyo Ela Wangeenda Kununua Dawa Kwa Za Mahospitalini Lingekuwa La Maana Ukifuatilia Hapo Utakuta Hilo Eneo Zahanati Haina Hata Gauze Wala Spirit Alafu Watu Wamenunua TV ya Soko
 
Back
Top Bottom