Ah! Tz ina madaktari wa ziada wanaogoma mjue hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ah! Tz ina madaktari wa ziada wanaogoma mjue hivyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Jun 29, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasema hivyo kwa sababu Mbeya- hospital imefukuza madaktari zaidi ya 70 leo, papo hapo imeomba toka
  manispaa madaktari 6! Hii inanipa picha kuwa madaktari Tz inao wengi kwa hiyo wanaogoma
  huenda wasisikilizwe. Pia kwa kuwa tuna madokta wengi (ziada) huenda ndo maana hata mafao yao
  hayatoshelezi.

  Kwa kuwa tunao madaktari wengi mno, naishauri serikali ipunguze in-take ya madaktari na pesa
  itokanayo iende kwenye shughuli zingine. Pia srk isilie lie tena kuwa Tz inaupungufu wa ma-Dkt.

  Mwisho, iwapo watafanikiwa kusikilizwa basi hawa ma- dkt wa ziada wasipewe hizo nyongeza.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wanaaita madaktari wastaafu ambao sina uhakika kama walilipwa mafao yao ya uzeeni!
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  we subiri tu hao si walikuwa wamekaa tu ngoja wakifika hospita wataungana tu na wenzao waliogoma maana wanadhan wao watalipwa zaidi
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  my colligue is my brother!huu ni msemo maarufu kwa madaktari!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  samahan mtoa mada,humo kwenye rangi nna mashaka sana,kwa sasa serikal ina upungufu wa madaktar sijui unalijua???unajua kuwa kwa sasa kuna baadh ya maeneo hayana madaktar au madaktar bingwa????mfano ni korogwe vijijin ambako jana nimemsikia mbunge wake analalamika(maji marefu),sasa wewe fikiria wamefukuzwa 70 halafu wameajiri 6,,,,huo uwiano uko wapi???,hao madaktar wa ziada wako wapi,,,,inaonesha huna data ila una-guess
   
 6. D

  Danniair JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu sina data wala si dhanii, Ila naishangaa srk. Kwani nchi hii si tu ina upungufu wa madkt
  bali hata vituo vya afya. Sasa srk inapochezea pesa yetu kwa kuwapa elimu hawa wataalamu na kisha
  kuwatumikisha ktk mazinira yasiyolingana na kiwango chao cha kutoa huduma si ndo nagwaya.
  Bila aibu kule Mby wamefukuza makdt 70 na kuweka mbadala 6! huoni kuwa hao 6 ni madkt wa fani zote?
  Kama ndivyo ipunguze in-take, 6 kila mkoa wanatosha. Wawili usiku, wawili asbh. wawili mchana. Mawodini
  OPD na thieta, imejensi. BRAVO mby!.
   
 7. D

  Danniair JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni hivi kila walipodai halali zao walinyanyaswa hivi hivi, Pia mafao wanayopewa kidunchu
  si tumemshuhudia Prof Shaba. Hii ni vita ya wanasiasa (wenye PhD za kihiyo) dhidi ya wasomi
  waliopiga umande.

  Fuatilia kitabu cha Mafisadi wa elimu, ujionee elinu ya Lukuvi.Makongoro Mahanga na wengine wengi.
   
 8. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Naishangaa serikali kwa kukosa PLAN-C, hii ni sawa na kuingia vitani na manati, ukizidiwa unarudi ndani unachukua upinde, hali ikiwa baya zaidi unarudi tena ndani unachukuwa silaha yako ya mwisho- 'Gobori' lenye risasi moja tu. Hapo utatakiwa kumwomba mungu awe upande wako ili ile risasi impate adui yako, maana ukimkosa itakuwa balaa.

  Serikali walianza na mkwara(manati) ikashindikana. Wakatumia wajeshi na wastaafu(upinde/mkuki) ikashindikana. Ikabakiwa na gobori la risasi moja(mahakama), bahati mbaya risasi ikamkosa adui. Je, serikali ina plan-c hasa katika kipindi hiki ambacho adui anatumia mbinu kali zaidi(mgomo wa madaktari bingwa)?
   
 9. w

  wa uwanji New Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  plan zao zinazid kuwashush hadhi. Haiwezekani ufukuze MO 72 uajiri AMO 6, halafu unawahadaa wananch eti srk imejipanga. Come on, lets be serious.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Serikali inatumia utaratibu maarufu wa "Kill them before they grow".
   
 11. t

  trigger Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Mtoa hoja kidogo hauwaz kama great thinker hivi huko jiji waliko wachukua ma DR hamna wagonjwa?na je watatibiwa na nani katika maeneo walioacha wazi,pia hv madaktari 70 kwa 6 hapo labour turnover imekaaje ukijua labour turnover ya dr mmoja pale rufaa utajua vp wamechemka kwa tunaopajua rufaa ni kutoa bunduki kuweka rungu
  Madaktari wengi wenye nguvu wameajiliwa serikali binafsi ambazo ndio kimbilio la wengi sasa mabosi zao wako tayari waachie hospitali zao zifungwe na ma dr wazee wengi tayar wamechoka I dnt think kama watakuwa capable sana kukabiliana na changamoto ya wingi wa wagonjwa
   
 12. THE GREAT CAMP

  THE GREAT CAMP JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 767
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  A doctor is a medical practitioner, ie. he/she practices medicine. The primary role of a medical doctor is to maintain or restore human health. This is done through studying any disease or injury, and applying an appropriate diagnosis and treatment.
  [HR][/HR] Doctor comes from the latin, docere, which means, "teacher."
  Classically, a doctor was a learned person who would teach those with less experience. Over time, doctor became synonymous with physician. This is not accurate, however, as any person with a doctorate degree (Ph.D, etc) is technically a doctor, although now, in educational venues, those who hold a Ph.D are typically called professor in a group or doctor individually. In the clinical or hospital venue, the prefix "doctor" is usually reserved for those with medical degrees, MDs or DOs.

  NADHANI UMENIELEWA.
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  hii sred imenifumbua macho, natamani wale Pro-serikali(kwenye hili saga) waangalie vizuri ili wapaze sauti kuishauri serikali.
   
 14. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mkuu wana-siasa hawajui DR ni nani, hawatofautishi kuanzia Medical Attendant wa kiume, Clinica Offier, Asst Medical Offer, MO wala specialist. Jeshini kuna-co kibao wazee wanajiita ma-dr. Hawaja practice siku kibao. Dawa zao za kale e.g PPF, Chroloquine. Hawajui kusoma majibu yoyote ya Imaging diagnostcs e.g CT-Scan.Subirini DOTs.
   
Loading...