Agustino Mrema: Hajafa mtu hapa, nitakufa kama Mungu akinitaka

Mmh...uviko kama uviko...lol😅
Usiache kujipatia covidol kwa matumaini
175182-10255835316253541409670138137629618963218432n.jpg

Kupona ni majaliwa ya imani yako
 
Bora babu hujakanyaga msibani....tusingependa kupoteza watu maarufu ndani ya msiba wa Rais wetu....endelea kupumzika nyumbani na kujivufukiza kama wanavyofanya wenzako wakina Lowassa, Msuya, Cheyo, Sumaye Et ela.
 
andika maswali aliyoulizwa basi, na huyo Veronica ni nani
asee nimemfuatilia huyo dada kama ni kweli anayoyasema basi nchi yetu ni ya kuiombea sn kumbe kigogo 2014 tunaye hapa hapa nchini ni kundi ndani ya kundi na kweli ukifuatilia inakuwaje siri za ikulu zinavuja kirahisi namna ile ...huyo dada ana hoja si bure...kuna mazito mengi sn ndn yke
 
"Nashangaa kuona watu wazima na akili zao wakileta maneno ya uchuro eti nimekufa hata mimi walinitaja nimekufa..hajafa mtu hapa nitakufa kama Mungu akinitaka."Mwenyekiti wa chama cha TLP Agustino Mrema.

"Nimejisikia vibaya toka nilipo pata habari za msiba wa Hayati Magufuli nikiwa nyumbani kwangu Dar es Salaam, nimetuma mwakilishi wa chama akatoe pole na faraja nimeumia sana ila niliongea naye akiwa Chato ni kama tuliagana nikaongea na familia yake." Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema.

View attachment 1734148

Kumbe Sumu za Kirusi huwa haziishii tu Kukuua taratibu bali pia zinakufanya uanze kuwa Kituko kwa Watu na Hayawani ( Mjinga ) fulani hivi.
 
Hivi hakuna namna japo tukampa umakamu wa rais huyu mrema? Au waandishi hamjamuuliza maoni yake akipewa hiyo nafas
Tumpe umakamu Lissu banaaaa... Mrema aendelee na kazi yake ya u parole kule Magereza...
 
Safari hii naona ajira zinaanzanza kufunguka kwa kasi sana...Kila mheshimiwa inabidi afungue account angalau hata youtube....maana usipoonekana siku tatu tu unatafutwa kwenye account ya kigogo...social media runners mpo...?....tumeona mwenye nywele Nyeupe kapost akiwa anafuatilia msiba kupitia runinga yake....sio muda tunaona picha hii...
tumefikia sehemu mbaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom