Agustino Mrema: Hajafa mtu hapa, nitakufa kama Mungu akinitaka

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
"Nashangaa kuona watu wazima na akili zao wakileta maneno ya uchuro eti nimekufa hata mimi walinitaja nimekufa..hajafa mtu hapa nitakufa kama Mungu akinitaka."Mwenyekiti wa chama cha TLP Agustino Mrema.

"Nimejisikia vibaya toka nilipo pata habari za msiba wa Hayati Magufuli nikiwa nyumbani kwangu Dar es Salaam, nimetuma mwakilishi wa chama akatoe pole na faraja nimeumia sana ila niliongea naye akiwa Chato ni kama tuliagana nikaongea na familia yake." Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema.

FB_IMG_1616674688190.jpg
 
"Nashangaa kuona watu wazima na akili zao wakileta maneno ya uchuro eti nimekufa hata mimi walinitaja nimekufa..hajafa mtu hapa nitakufa kama Mungu akinitaka."Mwenyekiti wa chama cha TLP Agustino Mrema.

"Nimejisikia vibaya toka nilipo pata habari za msiba wa Hayati Magufuli nikiwa nyumbani kwangu Dar es salaam, nimetuma mwakilishi wa chama akatoe pole na faraja nimeumia sana ila niliongea naye akiwa Chato ni kama tuliagana nikaongea na familia yake." Mwenyekiti wa Chama cha TLP,Agustino Mrema.​

View attachment 1734148
Em weka video clip basi
 
Ila hajasema yuko kwenye hali gani
 
Safari hii naona ajira zinaanzanza kufunguka kwa kasi sana...Kila mheshimiwa inabidi afungue account angalau hata youtube....maana usipoonekana siku tatu tu unatafutwa kwenye account ya kigogo...social media runners mpo...?....tumeona mwenye nywele Nyeupe kapost akiwa anafuatilia msiba kupitia runinga yake....sio muda tunaona picha hii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom