Agri business congress east africa, kampala 29-30 nov 2017

jsekiku

Member
Jan 12, 2009
25
7
Fursa kwa wanaohitaji kujikita kati aujenzi wa uchumi kuoitia kilimo imekuja. Kwa siku 2 kuanzia 29-30 Nov. 2017 jijini Kampala, kutakuwepo na kongamano kubwa, ambalo wakulima, wafanyabiashara, wajasiliamali hususani kutoka kanda ya Ziwa na Mkoa wa Kagera hawapaswi kukosa. Maelezo ya kongamano hili yanapatikana hapa Agribusiness Congress East Africa, 29 - 30 November 2017, Uganda.

Kuhudhuria ni bure
upload_2017-11-4_4-19-27.png
 
Back
Top Bottom