Agrey mwanri: KARIBU IDARA YA KILIMO/MIFUGO-NDC UJIONEE MIUNGU WATU NA UNYANYASAJI

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Napenda kumkaribisha waziri mwenye dhamana ya TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA kutembelea Idara ya kilimo/mifugo, H/M ya wilaya ya NGORONGORO ajionee UNYANYASAJI UNAOFANYIKA KWA WATUMISHI WA IDARA HIYO HASA WALE WALIOPO VITUO NJE YA MAKAO MAKUU YA WILAYA. matatizo yao yako mengi sana nitayaweka kwenye thread nyingine. TUKIUACHIA UNYANYASAJI HUU KILIMO HAKITOENDELEA MPAKA YESU ARUDI.
 
WATU BWANA, wanabipu hata kwenye BLOG!?. MOD tumpe siku mbili kama hajaleta maelezo na ushahidi afutilie mbali hii crap. Ni kawaida ya wakulima kulalamika.

Back
Top Bottom