Agrei Mwanri mzee wa Toronto na RC mtaafu Chalamila hawa wakiungana ni wazuri sana kwenye STAND UP COMEDY

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
231
500
Hawa waheshiwa nawakubali Sana lakini tatizo labda hawajagundua vipaji vyao nje ya siasa.Lakini nawahakikishia kama walikubali kuungana na kufanya COMED basi watakua mabilionea wakubwa sana.

Sifa zao:
- Ni wasomi wakubwa na wajua kiingereza vizuri hivo hata kimataifa wanapigwa kazini. Ukomed wao upo automatic yani wanabuni maneno kutokana na mazingira ni wachekeshaji kiasili.

- Sura zao tu zipo ili mtu acheke, yani ni watu wa masihara kila time.

- Wanajua hadhira inataka nini kwa muda gani, hawa jamaa ni shida sana.

Sina nia mbaya kwao lakini nje ya siasa na uongozi hawa jamaa sio Comedian wazuri Sana.Naomba waunde kundi Lao la vichekosho (TV SHOW) watapiga pesa hadi mtashangaa.

NB: Nawakubali sana na Mungu azidi kuwabariki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom