agree kama ishakutokea kwa exam

Hardman

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
672
395
photo.jpeg
we unafanyaje ikikutokea hiyo??
 
lazima udate....!!!Afu kila ukichek huoni swali la vipimo wala ruler, wala mchoro!!
 
ilitoke juzi tu kwenye mitihani ya CPA, msimamizi kasema "wale walio tumia graph paper, wa zifunge kwenye shit ya mwisho, msimamizi atawapa kamba"........................ ni kaanza kujiuliza wapi panahitaji graph sikupata jibu
 
Mmmh mambo logarithm hayo, nilikuwa nachukua kale kakitabu kalog ila sijui kusoma, basi kuna mshikaji wangu alikuwa ananijua udhaifu wangu, anaviagizia KAMA viwili najiuliza anavitumiaje? Si vinafanana?
 
pole mh. CPA.
 
MMMH!! hayo mambo ya log nilikuwa nachukia mbaya, so matumizi ya table, ruler au calculators mie NOOOP!!
 
Hahahhaaaa, kasheshe ni pale wenzio wanapoomba booklet nyingine wakati wewe hata robo yake haujajaza na maswali hayaendi, CPA
 
Back
Top Bottom