Agongwa na Treni Akichati na Simu Kwenye Reli Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agongwa na Treni Akichati na Simu Kwenye Reli Dar

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nilkarish, Jun 17, 2012.

 1. nilkarish

  nilkarish Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana Jackson Thobias mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kugongwa na treni kwenye maeneo ya kipawa jijini Dar es Salaam. Aligongwa na treni baada ya kutembea juu ya reli huku akichati kwa simu yake na akisiliza muziki kwa kutumia headphone.
  Kijana mdogo wa miaka 17, Jackson Thobias, aliyekuwa akisoma kidato cha nne ESACS Academy, amefariki kwa kugongwa na Treni maeneo ya kwao kipawa.
  Aligongwa na treni akiwa anatembea juu ya reli huku akiwa anasikiliza muziki kwa headphones huku pia akichati katika simu yake wakati akitembea kwenye reli.
  Pamoja na mlio mkubwa wa treni, na juhudi za watu kumpigia kelele kuwa kuna treni inakuja nyuma yake, Jackson hakusikia.
  Marehemu Jackson ndiye aliyeshinda kwenye Tokelezeiyer Inter-School concert iliyoandaliwa na group ya Friends 4 Friends mei 12 mwaka huu.
  Pia alishinda dougie competition wakati 5select Event ya EATV ilipotembelea ESACS wiki mbili zilizopita.
  Alikuwa ni kijana mwenye kipaji na ndoto nyingi katika umri mdogo wa miaka 17. Mungu aipumzishe roho ya marehemu Jackson Thobias kwa amani, Amen.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  rip jack
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  rip.. itoeni huku chiy chat
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Apumzike kwa amani,ila kwa sasa vijana wamekuwa addicted na headphone yaani hawafanyi kitu bila kuweka hayo ma dude kokote waliko wako nayo wamekuwa wagonjwa kabisa!!!hata wakiwa wanasoma wanavaa hivyo sielewi kama unaweza kusoma na wakati unasikiliza music!!!
   
 5. nilkarish

  nilkarish Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inasikitisha sana kw kweli. R.I.P
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mungu wangu!
  Too sad,RIP Jack.
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .........hii habari imenisikitisha sana.
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ushamba wa simu unaua wengi tu bongo akiwemo supa staa wao wa kuchonga Kanumba
   
 9. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  RIP Jack, u'll be missed.

  :crying: :crying:
  :crying:
  :crying:
  :sad:
   
Loading...