AGOA: Kuanguka kwa Uuzaji wetu soko la nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AGOA: Kuanguka kwa Uuzaji wetu soko la nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jul 18, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Wait a minute, how come the economic down turn, credit crunch is affecting our exports and not imports from US? We have lost almost 50% of our exports and Kibwagizo is that Hali ngumu ya Uchumi wa Dunia and so is KUanguka kwa Uchumi wa Marekani, but American exports to us have nearly doubled!

  What happened to all those trips to US to sell ourselves and our products? How come trade with US seems to be more beneficial to US and nt to us? Wasn't AGOA built specifically as a special preference to African countries to have a better trading with US?

  May be with the Lukaza and Jeetu who were travelling with VDG on ziara za kuitangaza Tanzania kibiashara are now in jail with EPA, that is the reason our exports have gone down!

   
 2. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Angalieni ripoti ya AGOA kwa Africa na tujiulize ni kipi ambacho tumekuwa tukijivunia kwa misafara ya Mukulu wa Kaya. Angalieni imports kubwa za US kutoka Africa!

  http://www.agoa.gov/resources/US_African_Trade_Profile_2009.pdf

  U.S.-African Trade Profile – 2009 African Growth and Opportunity Act (AGOA) - Home Page
  - 13 -​
  Leading U.S. Imports from Sub-Saharan Africa​
  Oil imports (crude and non-crude) continued to dominate imports from Sub-Saharan
  Africa with $71.2 billion in oil imports in 2008, accounting for 82.8 percent of all U.S.
  purchases. Platinum remained the second leading U.S. import with a 3.5 percent share.
  Motor vehicles and parts replaced diamonds as the third leading U.S. import, accounting
  for 2.3 percent of purchases. Other leading imports included: diamonds; iron and steel;
  woven and knit apparel; ores, slag and ash; cocoa; organic chemicals; and petroleum
  gases and other gases.​
  2008 Import Value
  Item ($ Millions)
  Oil (Crude & non-Crude) 71,208.2
  Platinum 2,966.9
  Motor Vehicles and Parts 1,932.7
  Diamonds 1,572.7
  Iron and Steel 1,235.9
  Woven & Knit Apparel 1,151.5
  Ores, Slag, & Ash 896.8
  Cocoa 695.0
  Organic Chemicals 627.5
  Petroleum Gases & Other Gases 513.4​
  Source: U.S. Dept. of Commerce, Bureau of Census
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu jibu lake rahisi sana.. Uchumi Tunao Tumeukalia (Ututu).. Huu ututu ni kilema ambacho kakizungumzia Kawawa toka enzi za mwalimu. Sasa kinachofanyika wajanja wanakuja chota, soko litakosa vipi kupotea..siku zote kama kuna magendo mnunuzi hasubiri sokoni mkuu wangu..
  Zamani watalii walikuwa wakija nchini kutazama Wanyama... Tukawauzia mbegu (wanyama)kujaza ma Zoo yao huko Ulaya na Marekani, sasa unategemea watalii watakuja nchini kutazama nini.. waulize watu wa Utalii watakwambia ati huja kuona wanyama ktk mazingira yake.. at the same time mtalii huyo huyo huchukua siku saba (7) kuzunguka mbuga zetu zote kwa safari yake ya mwezi mzima..Hizo 24 days zilizobakia ndani ya nchi ni karaha tupu tunategemea kweli atarudi? na kufanya nini!..hata hizo Beach nzuri tu ni lazima apande ndege kwenda Unguja au Pemba..Hatuna kitu cha kuuza mkuu wangu hatuna zaidi ya mahitaji yetu sisi wenyewe - Kuagiza vitu vya mtoni..
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mkandara,

  Ina maana hatuna uwezo au soko kuwauzia Marekani kupitia AGOA vitu kama ngano, mahindi, kahawa, chai, katani, pamba, korosho, karafuu, ufuta au vitunguu? Achilia mbali almasi, dhahabu, tanzanite, chuma, makaa ya mawe na maua?

  Hizo milioni mbili kwa mwaka ni kitu gani tulichowauzia? Vitenge, animal print na vinyago?

  Inasikitisha mno na tunaambiwa kwa miaka mitatu iliyopita kuwa Rais wetu alikuwa anakuja kuitangaza Tanzania kwa Wamarekani!
   
 5. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mkandara,

  Kwa kuongeza, nimemaliza kuangalia ile kipindi cha "Expedition Africa" kule History Channel ambapo walikuwa wakifuatilia nyayo za Henry Morton Stanley alipokatisha mbuga kutoka Zanzibar mpaka Ujiji kumtafuta Dr. David Livingstone.

  Jamani Tanzania yetu ina bahati kubwa kuwa na ardhi nyingi na maji mengi pamoja na uoto wa asili mzuri tuu ambao unaweza kutufanya tuweze kujilisha na kulisha hata Afrika Mashariki na Kati nzima!

  Ukipita kule bonde la bahi ukaanza kuingia Tabora ukashuka mpaka Mto Malagarasi, ni rutuba tupu. Njoo huku Bagamoyo ukakatisha mpaka Morogoro nako ni rutuba tupu.

  Nikajiuliza ni vip[i tunashindwa hata kuinadi nchi yetu kwa vivutio vya utalii kwa kuwa na safari kama hizi za Wazungu wakate mbuga kwa siku 30 kufuata nyayo za Stanley na Livingstone na zaidi kuboresha na kuimarisha kilimo ili tujitosheleze na kuweza kuuza nje ya nchi?

  Nimebakia nikisononeka!
   
 6. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Zakumi, Sikonge, Susuviri, Companero mko wapi mlio makini katika mambo ya uchumi na biashara kufafanua hii imbalance ya trade kati yetu na USA na kwa nini tunashindwa kutumia fursa murua kama hii ya AGOA kama vile Botswana na wengine wanavyofanya?
   
 7. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Mkandara you're good at this; inabidi uweke nguvu zaidi kuhusu hili. Achana na thread zingine uchwara. Hata wewe uchumi umeukalia, maana ulivyoelezea hapo mie nakupa U-professor!!
   
 8. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Kishoka, don't waste your time inviting Tanzanian to discuss this topic. One WaTanzania wamo sana kwenye Simba na Yanga, ndiyo maana unaona ubishani mwingi kwenye udini, na nani zaidi Kikwete au Nyerere.

  Number TWO: WaTanzania ni watu Wa-"misheni"; ukimwambia kazi ya kupata pesa baada ya miezi mitatu atakushangaa.

  Number TATU: Elimu zetu wengi ziko kwa prestige na ni comparison factor

  Si umeona hata kwenye JF kuna thread zote hadi ya mapenzi; lakini sijaona Business to business (B2B); ambapo watanzania kwa WaTanzania wangeweza Ku-Network from different geographical positioning na kufanya mambo!

  This topic is among the best to discuss!
   
 9. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kishoka watz tatizoo letu ni zaidi ya UONGOZI..

  Hivi personal initiatives zako zimechagizwaa na Uongozi???
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,812
  Likes Received: 5,119
  Trophy Points: 280
  Rev.Kishoka,

  ..kwa kweli hata mimi nashangaa kwanini tunashindwa kujitosheleza kwa chakula.

  ..hata GT alianzisha topic inayohusu bonde la mto Rufiji kwamba liko under-utilized.

  ..kama serikali haina nia ya kumuwezesha mkulima mdogo ku-graduate kuwa mkulima wa kati, na baadaye mkulima mkubwa, basi ni bora wasomi[Kishoka,Mkandara,GT, etc] wakaingia kwenye kilimo. i strongly believe there is money to be made kwenye kilimo.

  ..nakumbuka kumsikia waziri wa biashara Mama Nagu akilalamika kwamba tunatumia fedha nyingi za kigeni ktk kuagiza mafuta ya kupikia. sasa ktk mazingira kama hayo sijui kwanini hatuendelezi zao la michikichi Kigoma, au alizeti maeneo ya Singida.

  ..binafsi nadhani serikali inapaswa kujiwekea lengo kwamba lazima Tanzania tujitosheleze kwa chakula.
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  IO,

  Then tunaendelea kushika bango kudai CCM ni mbofu mbofu ilhali ni sisi wenyewe ndio mukichwa mbofumbofu!

  It seems on any emotional issue we are ready to pour our herts, but when it comes to think, plan and analyze, we cease to exist!

  Long Live Waraka wa Kanisa, Hoja ya OIC, Mwakyembe kulishwa Sumu na mahakama ya Kadhi! oops nisisahau, Sitta, Lowassa na Rostam ni Mafisadi!
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,812
  Likes Received: 5,119
  Trophy Points: 280
  Rev.Kishoka,

  ..binafsi nadhani kabla ya kuanza kufikiria kuuza nje tujaribu kukidhi hili soko la ndani.

  ..usije ukashangaa kwamba hata vitu basic kama baiskeli na majembe ya mkono tunaagiza toka nje.

  ..halafu Raisi wetu huyoo kiguu na njia kwenda nchi za nje. juzi ametoka Sudan, akaingia Dar kusalimia akatimkia Lusaka!!

  ..nchi haina haina uongozi hii.
   
 13. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wewe IO ndio dhihirisho la kansa ya Watanzania, rahisi kuchonga na kulonga na kunyoshea. Matendo, sifuri.

  Kama jamvi halina mada muhimu bali "ya mapenzi" kwa nini hukuanzisha?? Huna sense of initiative??

  Hii mada kama haijachangiwa vema moja ya sababu ni kwamba imepinda. Ukitaka kuonyesha AGOA-based business hazijaleta mafanikio onyesha namba kabla ya AGOA (miaka ya 90) na wakati wa AGOA, sio kutupa milinganyo kati ya 2006 na 2008. Mmomonyoko wa uchumi wa dunia lazima utaathiri hizo hesabu za uchambuzi wa AGOA miaka hiyo. Tusichanganye recession na AGOA!

  Na ingekuwa vema kama tungepata vyanzo vya madai kuwa manunuzi yetu "yameongezeka karibia mara mbili" wakati wa recession. Habari iliyoletwa hapa ni fyongo, ilivyoanza tu maandishi yake yanatisha:

  "due to the credit crunch spawned the global downturn...counterparts member states..."

  Makorokosho gani sasa hayo ya huyo mwandishi?
   
 14. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mada ni nzuri.

  Tukibali kwamba many of us are not well informed kwenye nyanja mbalimbali. Information kibao ambazo zinastahili kuwa kwenye public domain hazipatikani kirahisi.
  Kiu ya information wengi tunayo; imejidhihirisha pia kwenye maswali uliyoyauliza kwenye hii thread.
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nimependa sana thread hii.
  napenda sana mapinduzi ya kibiashara hasa biashara za nje.
  Lakini ndugu yangu, hata hii inahitaji sana informations na datas. Naamini vitu hivi ni duni sana kwetu. Mi nadhani kama serikali ingejitahidi kuanzisha na hii biashara ya mtandao, wengi tungejaribu.
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Sure, inviting watanzania may not work.

  Ninyi mliojiunga hapa toka 2006, do you think you can build a small team? You seem to have a common interest :)

  Uliyoyasema Interested Observer yamenikumbusha miezi 12 iliyopita niliposoma post ya LeoKweli, ambapo Mzee Mwanakijiji aliandika maneno ambayo hata leo nayakumbuka. Even today, it still is one of my favorite threads.

  Would you guys agree with me, that JF need small teams?
   
 17. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Dilunga,

  The man with many words who sees ills on anything but fails to add substance himself.

  Kama topic imepinda, mboa basi na Ufahali wako hujatuletea hizo data kutunyoosha na kutusahihisha? What is wrong to quote data from last 2-3 years to show trade imbalance?

  Marakumi na JokaKuu the Serpent General kajisemea kuwa kwanza tujiwezeshe kujitosheleza kwa soko la ndani.

  Labda nikuulize mtaalamu wewe wa Data na Uchumi na Lugha, je ni kipi kinatushinda Watanzania kuwa na uzalishaji na kuuza bidhaa zetu Marekani pamoja na kuwa na hii AGOA? Je kama AGOA iliundwa ili tupewe ka-upndeleo fulani, ni kiasi gani kahawa ya kule kwenu Misenyi au kule Uchagani na Umeruni kama si Unyakyusani imeweza kupigana bega kwa bega na kahawa ya Ethiopia na Kenya katika soko la kahawa na maduka ya kahawa Marekani?

  Nenda Starbucks, utakuta kahawa ya Kenya na Ethiopia nje nje na bwelele, ukiuliza kahawa ya Tanzania inabidi jamaa wafikirie mara tatu tatu kisha wagugo internet yao ya Starbucks kuona kama hata sampuli wanayo?

  Credit crumc my a$$, always excuses! Je tulipokuwa na neema wakati ule walipokuja Wafanyabiashara kibao na Mkapa wakajazana kwenye ndege na kila mtu alipofika kwenye forum akaulizwa je ni biashara ya kiasi gani cha pesa mnazungumzia, nduguyo Lukaza na wenzake wakakimbilia biashara ya Dola Laki tano na sana sana kila kitu ikawa ni kuhusu mitumba?

  In the last 3 years, JK in colaboration with TCCIA whave created the so called Special Forum to sell brand name Tanzania and its products. Now if we sold ourselves to Americans during those 2 trade missions in which one of them JK was late, we would have seen at least a fair market share of our products landing in US more than our traditional markets (EU, Japan etc).

  It does not make sense that we exported barely 3% of what Americans exported to us.

  So if you are trying to correct and liven the talk, bring Data and comparison and give the thread life so that kina Zakumi, Companero, Sikonge, Bin Maryam and Mkandara can kata issues!
   
 18. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  As I am fuming at Dilunga, I hhad a second thought reflecting on JokaKuu.

  We do not necessarily have to wait to see Nigeria, Comoro or Botswana becoming sucessful in trading with US before we can improve or products and commodities and sell them to Americans.

  Katika pekenyua yangu nimekuta some Data za imports za Marekani na angalieni wenyewe kuwa hatapo katika nchi zinazopeleka bidhaa Marekani mpaka tuklatambulika.

  Swali ni je ni kutokana na kushindwa kuwa na marketing strategy au ni kutokana na inferiority of quality of our goods?

  Sasa if we are investing on foreign trips to sell our country, but we are not improving production and quality of our goods, how can one expect that becopming a friend of America is a way to open a door for better trade?

  Jisomeeni!

  2001 Country Commercial Guides
  Export.Gov
  TradeStats Express? - National Trade Data
  TradeStats Express? - National Trade Data
  http://www.buyusainfo.net/docs/x_8429721.pdf

  Angalia hii ripoti ya 2009 ambayo link yake ni hiyo hapo juu ya pdf.

   
 19. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
 20. Robweme

  Robweme Senior Member

  #20
  Jul 24, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbukumbu zangu ni kwamba, wakati tunapata uhuru, kulikuwa na kitu kinaitwa kutaifisha mali ambazo zilikuwa za wahujumu uchumi.
  Ukienda mkoa wa kagera, sehemu inaitwa Kyerwa kulikuwa na kiwanda kukubwa cha madini ya Tin ambacho kilianguka baada ya kuwatimua waliokuwa wamewekeza na kuwakabidhi wazawa.Ukienda pale utakuta magari makubwa, na majumba ambayo yameozea pale.
  Tanzania,baada ya Tanganyika tulikuwa na viwanda vya magari kama Scania kama sijakosea ,scania ilikuwa pekee Tanzania ktk africa, tulikuwa na viwanda vya sabuni, nguo, kiwanda cha kutengeneza pembejeo, tukiachilia viwanda Reli yetu ya kati ilikuwa na huduma bora.Ukienda Mwadui mine,utaweza kuangalia mgodi uliojengwa zaidi ya miaka 30 iliyopita na ulivyosasa na utashangaa, hakuna maintenace yoyote , kuna nyumba nzuri sana na kubwa, kuna swimmingi pool nzuri sana, zote zimeharibika, kila kitu kinacho haribika hakuna matengenezo kabisa.Pale pale kulikuwa na kiwanda kikubwa cha mikate mikubwa ambacho sasa kumegeuzwa gofu na sehemu yake kugeuzwa maduka.Tulikuwa na viwanda vingi sana, kiasi kwamba vingekuwepo vyote hivyo basi tungekuwa na export commodities nyingi nje pengine kuliko tunavyo import.Sasa nasema kwamba tulitakiwa kuwa na bahati gani zaidi ya kuachiwa viwanda na reli ya katika baada ya uhuru?.Sasa hivi reli tumetumia weee tunasubiri ife nayo tuweke pembeni.Vilivyokuwepo vyote tumeshindwa kuviendeleza, na je waliohusika kuangusha au kufrisika kwa viwanda hivyo walichukuliwa hatua gani.Kuna aja kubwa ya kufumba macho,nakumbuka kwamba kipindi fulani nadhani mwanzoni mwa mwaka huu, kiwanda kimoja china kiliuza maziwa feki mabaya,na yakauwa watoto.Mwenye kiwanda alishuitakiwa na hukumu ilishatolewa haraka nadhani walinyongwa.Je sisi tunashindwa hilo, au tunasubiri Bwana Yesu arudi kutuelekeza.
  Siasa tuliyonayo haituwezeshe kufanya chochote, hata tukipiga kelele namna gani, ndugu wanajamii tuanze na mabadiliko ya siasa kwanza, serikali na sera zake watambuetulikotoka na tunakokwenda,je tunapotea,au tuko msitari ulionyooka.
  Bila kubadili siasa zetu, akika hatuwezi kwenda popote kabisa hata kama tutajadili kila siku, tutakuwa tunasogeza mda, lakini watoto wetu kama tutakuwepo tutapigwa viboko kwamba tulifanya nini.Mungu ametupa bahati sana, ambayo tutashindwa kumjibu kuwa tulifanya nini kwa kizazi kinachoendela.
  Nawashauri viongozi wetu warudi kwenye imani zao,na kuangalia wanafanya nini ktk uongozi wao, je wanatimiza upendo?au ni kuangaika na mambo ya mda mfupi ya duniani.Tukiwa na imani nina akika tutafika mbali sana.Kama ni kuandika nadhani watu wamenadika sana, hakuna mabadiliko,kabisa nadhani hadhabu ya viboko ya enzi za mwalimu irudi tena.
   
Loading...