Uchaguzi 2020 Agnesta Lambert (CHADEMA): Kete ya ushindi/mpasuko Segerea

Chadema Ina mfumo dume haipendi kabisa wanawake.

Hata kwa nafasi ya Urais badala ya Yule Dr. Wakampa Salum.

Dharau hii kwa kina mama mtailipa.
 
Hii sijaipenda kabisa.. hapa CHADEMA wapigwe tu kwenye hili jimbo. Ndo baadhi ya mambo ya kipuuzi siyapendi.

Huyu Mrema amezingua kabisa, kwanini hawakumuacha huyu mwanamke?
 
Chadema hawapendi kuwapa wanawake nafasi matokeo yake wanabeba wanaume ambao ni rahisi kurubunika, Bona naye kajitahidi huko segerea ingekuwa vizuri achuane na huyo dada
Ndo nilivyodhani, wangeachwa wanaume wapambane.. sijajiskia vizuri
 
Kwa bahati Mbaya kapirtishwa John Mrema badala ya Agnesta Lambert kaiza
 
kuna mtu ndani ya Chadema kanidokeza anasema ni strategy ya chama chao kuwa wote wawili (John Mrema na Agnesta Lambert) lazima waingie bungeni kwani wote ni wazuri.

so, anadai mkakati wao ni Agnesta kutinga bungeni kwa tiketi ya viti maalumu.

Mmmmm

Hizo ni stori tu za kuridhisha watu
 
Back
Top Bottom