Agizo la waziri wa ardhi lukuvi.

thehunk

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
524
225
Habari zamajukum Wanajamvi
Naomba kuuliza .
Takribani mwezi mmoja na nusu umepita tangu waziri wa ardhi makazi na maendeleo ya nyumba kutua agizo ya kuwa watu wote wa dar es salaam ambao walikuwa wanamiliki ardhi pasi na kuwa na hati ya ardhi amewapa muda ili waweze kupata hati hizo.

Na pia mtu yeyote kuanzia tamko lile lilipo tolewa hapaswi kununua kiwanja jijini dar es salaam kama hicho kiwanja hakina hati.

Swali, je agizo hili limeeanza kutekelezeka?...kwa maana nahitaji kununua kiwanja kwa sasa lakin hakija pimwa .na nahofia isije ikanikumba kadhia ya kutokutambulika

Na je watu bado wanauziana viwanja sasa jijin dar es salaam?
 
baraka kashililika

Senior Member
Dec 23, 2016
139

Lukuvi ndo serikali yenyew kwahiyo kuna mda ambao serikali inaweza kutoa tamko hv na watu wakaendelea kufanya, binafsi natoa ushaur usiuze wala kununua kiwanja kisichokua na hati kwasababu matokeo yanaweza baadae yakaja kuwa -
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom