VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Jana,pale Daraja jipya la Nyerere,Rais alitoa agizo. Ilikuwa amri. Ya kutii bila mjadala wa hasara. Ni wakati wa kumtumbua Wilson Kabwe. Rais aliamuru kusimamishwa mara moja mikataba yote anayohusishwa nayo Kabwe.
Mikataba husika ni ya maegesho na Stendi ya Ubungo,ya mabasi ya mikoani. Hadi muda huu,mambo ya kimkataba yanaendelea kama kawaida. Maegesho na stendi ya Ubungo yako vilevile.
Watumbuaji wa Daraja la Nyerere wako wapi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam