Agizo la Rais kwa Spika "kuwaminya" Wapinzani, inathibitisha ile "maagizo toka juu" husemwa na nani

Ukweli ni kuwa kama kuna kiongozi anajaribu kutukatisha tamaa, katika hii vita ya Uchumi, astahili kubaki Tanzania, aende Marekani aungane na Mange
 
Mtoa Mada una faida ya vitu viwili tu
1-JF kukukubalia kuficha ID yako na kutumia ID fake
2-Endelea kuomba saaanaaa JF ishinde ile kesi yao iliyoko High Court
Kumsingizia RAIS wa nchi kuwa kaweka Amri ya kuwaadhibu wapinzan kuanzia mwezi mmoja hadi mwaka mmoja huku ukijua kuwa hakusema hivyo ni jambo La HATARI Sana kwako...hakuna mpinzan aliyekuwa mentioned pale.. Wala kuonea mtu pale
Ndo Maana nakwambia unapaswa kuomba Sana ILI JF iendelee kuwa kichaka chako.. Otherwise una Wakati mgumu sana best
Mkuu sisi tulianza kupigwa mikwara enzi za mkoloni,huu wako ni mkwara mwepesi sana
Humu JF wengine inbox zetu zimejaa vitisho na mikwara sana...Tunakuja bongo na kuondoka bado ni mikwara tu!!Tokea Jambo Forum mpaka leo
 
Na Wanasiasa watawapeleka peleka sana. Wameshawajua!!

Hivi kizazi cha Vijana akina Ulimwengu, Mwamoto, Salim nk kimepotea kabisa?!!
Mmh mwamoto gani unayezungumzia hapo? Au huyu mbuge wa kilolo iringa?
 
Mtoa Mada una faida ya vitu viwili tu
1-JF kukukubalia kuficha ID yako na kutumia ID fake
2-Endelea kuomba saaanaaa JF ishinde ile kesi yao iliyoko High Court
Kumsingizia RAIS wa nchi kuwa kaweka Amri ya kuwaadhibu wapinzan kuanzia mwezi mmoja hadi mwaka mmoja huku ukijua kuwa hakusema hivyo ni jambo La HATARI Sana kwako...hakuna mpinzan aliyekuwa mentioned pale.. Wala kuonea mtu pale
Ndo Maana nakwambia unapaswa kuomba Sana ILI JF iendelee kuwa kichaka chako.. Otherwise una Wakati mgumu sana best
Yawezekana IQ yako ni ndogo sana au umeamua kujishusha kukidhi malengo yako.I wish the 2nd is true.
 
Wakati mwingine Ngosha anafurahisha mwanzo wa sherehe,pale inapotaka kunoga anatia togwa maji.Sijui ni kujisahau tu au ndio hulka,maana dakika moja anasema mambo haya hayana vyama,dakika tano baadae anatoa kauli ya kuwagawa watu kiitikadi.
Karibu hotuba zake zote muelekeo (trend) ni huo huo. Ukweli sidhani kama ni mkweli kuwa mambo hayo hayana vyama-amejidhihirisha mara nyingi "mapenzi" yake kwa wapinzani. Na mapenzi haya kwa wapinzani ndo yanayo mfanya kukumbatia vijana wake wa Dar na Arusha, Le profeseri (bwana yule) etc. Naona huko bungeni kuna siku moto utawaka haswa haswa (bungeni au mahakamani). Anaamini kwenye siasa za mtu /chama kimoja wengine muwe na subira.
 
Binafsi ningembamba Lissu au Zitto pahala nisipoonekana ningeyachoma macho yao na bisibisi, ni bora wasiwepo kuliko kulichukia hili Taifa namna wanavyofanya
 
Ukweli ni kuwa kama kuna kiongozi anajaribu kutukatisha tamaa, katika hii vita ya Uchumi, astahili kubaki Tanzania, aende Marekani aungane na Mange
Huyo kiongozi yuko serikalini au wapi? Na inawezekanaje serikali yenye polisi, jeshi mahakama na kila kitu ikatishwe tamaa na mtu mmoja? Ana nguvu kiasi gani? Au hoja zake ndio zina nguvu kwa hiyo mnaogopa kuzisikia kiasi kwamba mnatamani aondoke nchini?
 
Tatzo hii nchi RAIA wake sio wadadisi wao wakiletewa tu jambo tayar washalrukia na kuamin asilimia mia moja, swala la makinikia lshakua n swala la kizalendo kisa baba jesca kalvalia njuga, tukumbuke swala la mikataba ya madn lmeanza pgiwa kelele ktambo sana na upnzan lakn walionekana mabwege na wajnga wasio na uzalendo, Leo baba jesca kaibuka nalo kwa kuvunja sheria na mikataba,anaambiwa approach alyotumia sio nzur waktushtak hatutashnda ,watu mnaanza lalama oooh,hawa wameongwa jaman embu tue na upeo wa mambo co ksa kasema baba jesca bas yuko sahihi,yeye co malaika n bnadam tuache shabkia vtu vtakavyotugarm
 
Jana kuitetea ATCL ukaniona nipo "huru",leo kuhoji kauli ya Mkuu kumuagiza spika kushughulikia watu wa muhimili wake unaona sipo "huru"

Na wale waliosema jana nimetumwa na CCM kuitetea ATCL na kuwa nina njaa za Lumumba,leo watakuja hapa na kusema "Kamanda umegonga penyewe".Ili mradi kila mtu anataka usiwe huru kufikiri na kuchangia kwa mtazamo usio na kifungo.

Mkuu Troll JF aina hiyo ya siasa na maisha hayo,mimi nilishavuka,najiweka huru tu kujadili lile ambalo kwa mtazamo wangu naona ni sahihi,sitaki kuinyima uhuru nafsi yangu na uzee huu,kama kujipendekeza,tulijipendekeza sana enzi za Julius na TANU YOUTH LEAGUE,hatimaye Julius akang'atuka na mwisho kafariki.Kuwa huru tu kijana wangu

Issue ukiwa mkweli ni taabu.Unamshughulikia Lissu asiyejua chochote kuhusu Madini,unatoa vyeo kwa wahusika wakuu wa mikataba mibovu na sheria mbovu.Hivi Kalemani ametumbuliwa au bado??Lissu na Kalemani nani stahiki yake kuchukiwa??

Tunamchukia MTU sababu ya itikadi yake si sababu amekosea mahali.

Tume ingia kwenye.ubaguzi mbaya.mno wa kiitikadi na ukabila.Ila mida ni dawa.
 
Back
Top Bottom