Agizo la mikusanyio la RC Mwanza lakwama mechi ya Pamba fc vs coastal Union au lilikuwa la kibaguzi

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.


Screenshot_2021-07-21-20-49-19.jpg
Screenshot_2021-07-21-20-49-56.jpg
 
This is pure double standard, na huu ndio ushahidi ambao CHADEMA wanaweza kutumia kufungua kesi ya kikatiba ya Certiorari na Mandamus kuondoa Hilo agizo na kumtaka aruhusu mkutano.

Nadhani Rais, Makamu wa Rais na Mawaziri wengine wanafanya mikutano kama kawaida ni wakati wa kuwahimiza wahudhuriaji wavae barakoa tu maana ni ubaguzi wa wazi kabisa.
 
Baada ya kuisingizia Covid19 sasa wamejivua suluwale

Sasa hivi ndio tunaanza kuelewa ni Katiba19 na si Covid19 kama tunavyodanganywa Chadema itawaambukiza Wananchi Katiba Mpya.
Katiba tunayo mbona
 
Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatariView attachment 1862638View attachment 1862639
Kuna Vitu vingine hata kama Wewe ni mwana CCM au unamkubali Rais Samia ila vinahitaji ama Akili ya Mwendawazimu au Mvuta Bangi Kuvitetea kwani ni vya Kipumbavu ( Kipopoma ) sana.
 
Back
Top Bottom