gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Leo kwenye taarifa ya habari ITV tumeendelea kumuona mhe. Simbachawene akiendelea kusisitiza juu ya maamuzi ya serikali ya elimu bure jambo ambalo ni tofauti kwenye shule hii ambayo nayo ni ya serikali.
Simbachawene amesikika akisisitiza kwamba mzazi hataruhusiwa kuchangia mchango wowote akiainisha ikiwemo na kuchangia chakula.
Tizama form hii ambayo imechukuliwa leo shuleni hapo na mzazi mmoja ambae mtoto wake amechagulia shule hiyo.
Hapa unaona kwa mwanafunzi wa bweni anatakiwa kulipa 200,000 kama mchango wa chakula na 150,000 kwa mwanafunzi wa kutwa.
Mhe. Ridhiwani lakini pia mhe. SimbaChawene popote ulipo salamu hizi zikufikie na utoe ufafanuzi.
Je, hapa taratibu zinafuatwa?