Inasikitisha kuona nchi yetu ikizidi kuuangamia kwa uwekezaji mbovu. Tumekuwa na tatizo la umeme ambalo sugu solution yake wameona ni kuingia mkataba na kampuni ya kigeni ya aggreko . Ambayo mitambo yake inatumia gesi . Kutokana uchache wa gesi kampuni imeamua kutumia petrol(gasoline) as plan b . Kwa siku yanatumika malori 15 ya 40 feet ya petrol. Hii imepelekea kwa waziri mkuu kutanangaza kuwa bei ya umeme itapanda hivi karibuni. To which direction our country is heading now .