aggreko na umeme petrol

mkumbwa

Member
Nov 16, 2009
25
5
Inasikitisha kuona nchi yetu ikizidi kuuangamia kwa uwekezaji mbovu. Tumekuwa na tatizo la umeme ambalo sugu solution yake wameona ni kuingia mkataba na kampuni ya kigeni ya aggreko . Ambayo mitambo yake inatumia gesi . Kutokana uchache wa gesi kampuni imeamua kutumia petrol(gasoline) as plan b . Kwa siku yanatumika malori 15 ya 40 feet ya petrol. Hii imepelekea kwa waziri mkuu kutanangaza kuwa bei ya umeme itapanda hivi karibuni. To which direction our country is heading now .
 
Simply bei inapanda maana gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko kipato...na kama hakuna subsidy from GoT inabidi ifidiwe otherwise itakuwa hatari...

Hayo mafuriko si yaje mabwawa yajae!
 
NI kweli hiyo ni plan b,na ndiyo maana wanataka kupandisha bei ili waweze kuwalipa zaidi hiyo kampuni.
Mkataba wa awali ilikuwa watumie gas na gas hakuna hivyo imebidi waingie mkataba mwingine wakutumia
mafuta ya ndege ambayo ni gharama sana.
Wananchi hatujaambiwa lolote kama waingia mkataba mwingine
 
Back
Top Bottom