Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Huyo dogo mhindi, ndio mtoto mrefu kuliko wote katika watoto wa rika lake la miaka nane kulingana na taarifa za Guiness. Ana urefu unakoadiriwa kufikia mita 2!
Duuuh !!Inawezekana mimba yake ilikaa muda mrefu zaidi, alikaa sana tumboni akachelewa kuzaliwa
Inawezekana mimba yake ilikaa muda mrefu zaidi, alikaa sana tumboni akachelewa kuzaliwa
Na atakuwa na lijihogo eti eeeh?
Unanitukana mkuu ntakuombea banmasikio nayo akuyaacha nyuma sana
Wewe unawaza madudu tu. Wazungu wamechukua Mali wametuaacha na watu kama wewe. MtuongozeNa atakuwa na lijihogo eti eeeh?
inaelekea haupendi kabisa vibamiaNa atakuwa na lijihogo eti eeeh?