Milestone JF-Expert Member Aug 11, 2012 379 407 Dec 15, 2012 #1 Hivi age difference sahihi kwa wapenzi inatakiwa kuwa ni ngapi ?
fazaa JF-Expert Member May 20, 2009 2,984 1,026 Dec 15, 2012 #6 Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.
Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.
Eiyer JF-Expert Member Apr 17, 2011 28,258 20,709 Dec 15, 2012 #7 Kaunga said: 3 to 7 years Click to expand... Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke?
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Dec 15, 2012 #8 fazaa said: Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma. Click to expand... Mmoja lazima atakuwa low performer.
fazaa said: Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma. Click to expand... Mmoja lazima atakuwa low performer.
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,467 Dec 15, 2012 #9 Eiyer said: Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke? Click to expand... Mwanaume, maana uzoefu unaonesha wanaume wanachelewa kumature. Ila ikiwa mwanaume yu above 30 hata akioa mwanamke wa 45 ni sawa coz hapo mwanaume kesha mature tayari.
Eiyer said: Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke? Click to expand... Mwanaume, maana uzoefu unaonesha wanaume wanachelewa kumature. Ila ikiwa mwanaume yu above 30 hata akioa mwanamke wa 45 ni sawa coz hapo mwanaume kesha mature tayari.
harakat JF-Expert Member Jul 4, 2011 2,888 1,347 Dec 15, 2012 #10 Mi nona mwanamke maana vibabu vinafiaa sana kwenye magest kumbe kibinti kilimpa kazi ngumu ya kuchungulia wapita njia nje wewe chezea 6x6
Mi nona mwanamke maana vibabu vinafiaa sana kwenye magest kumbe kibinti kilimpa kazi ngumu ya kuchungulia wapita njia nje wewe chezea 6x6
Eiyer JF-Expert Member Apr 17, 2011 28,258 20,709 Dec 15, 2012 #11 Haya bana,ila Eiyer na Kaunga hawakuzingatia huu muongozo!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,467 Dec 15, 2012 #12 Eiyer said: Haya bana,ila Eiyer na Kaunga hawakuzingatia huu muongozo!! Click to expand... Wao muongozo wao ulikuwa LOVE! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Eiyer said: Haya bana,ila Eiyer na Kaunga hawakuzingatia huu muongozo!! Click to expand... Wao muongozo wao ulikuwa LOVE!
Cpp JF-Expert Member Nov 1, 2012 1,115 2,214 Dec 15, 2012 #13 Umri ni namba tu, mkipendana manwekana ndani acheni uwoga mradi wote kunako bed mnawezana
Visenti JF-Expert Member Jul 24, 2008 1,025 327 Dec 15, 2012 #14 age difference is irrelevant for consensual adult relationship
Makene JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,475 282 Dec 15, 2012 #16 ukishampata mnayependana, piga hesabu uone tofauti ya miaka, kisha tumia hiyo tofauti kupata ujuzi nini cha kufanya.
ukishampata mnayependana, piga hesabu uone tofauti ya miaka, kisha tumia hiyo tofauti kupata ujuzi nini cha kufanya.
Milestone JF-Expert Member Aug 11, 2012 379 407 Dec 16, 2012 Thread starter #18 Ciello said: 10 years Click to expand... mbona hii inakuwa mingi sana na je hii haiwez kusababisha dharau kati ya huyu mpenzi wangu na wadogo zangu ambao watakuwa wakubwa kwake ?
Ciello said: 10 years Click to expand... mbona hii inakuwa mingi sana na je hii haiwez kusababisha dharau kati ya huyu mpenzi wangu na wadogo zangu ambao watakuwa wakubwa kwake ?
Milestone JF-Expert Member Aug 11, 2012 379 407 Dec 16, 2012 Thread starter #19 Fpam said: 15, hiyo c number tu Click to expand... muongo mmoja na nusu huo c utakuwa ubakaji sasa ?
Milestone JF-Expert Member Aug 11, 2012 379 407 Dec 16, 2012 Thread starter #20 MKATA KIU said: 30 years Click to expand... huo ni mwaka ambao tayari inatakiwa niwe nimeshaoa au age difference ?
MKATA KIU said: 30 years Click to expand... huo ni mwaka ambao tayari inatakiwa niwe nimeshaoa au age difference ?